Ur stlill talking nonsense....endelea kulea hiyo mi six parks na akili ndogo ukidhani ndo utapendwa. Utapendwa na hao malimbukeni mnaojitia wajanja wa mjini......
Ntaendelea milele....na kupendwa napendwa kila siku mpaka kero...mtoto mzuri anajielewa anahitaj mwanaume mwenye viwango asa kama wewe ukijitazama unaona huwez pata wa viwango tulia ulonae akutosha
Kwa tunavyojua mahakama zilivyo na zinavyofanya kazi inawezekana wakafanikiwa ila italeta vurumai kubwa sana sidhani kama raia watakubali.Na hapa amani ya nchi inawekwa hatarini.
Exposure ya kutosha kwenye uwanja wa uasherati si ndio?
masai dada, huu ndio ugonjwa wako? Mimi najua ugonjwa wa wadada ni escrow tu, ukiwa nazo hata Tibaijuka unampata.
Ni wadada wa facebook (secondari) na wanaoishi kwa wazazi wao yaani bado wanalelewa, hawayajui maisha bado ndo wanapendaga hii kitu, Huwezi kuta mdada na akili zake za kutafuta maisha anafagilia hii kitu. Kwenye picha mbona sioni six pack, naona ka-squeeze tumbo!
Excuse me, nilikuwa sijaangalia picha yote! Unamaanisha nini unaposema 'six pack......ugonjwa wa wadada', mbona huyu 'boxer' hardware hamna?? Vipi??
Yote mbwebwe tu, mambo yote hapa
Kwann tunapenda mwanamke mwenye shape nzuri....ikiwa wote papuch mnazo
word........
mkuu una sixx packs????maaana sielewiiiiiii
unasema hvyo kwasababu hujawahi kukutana na mwenye six pack lakn siku ukikutana naye na akakuhandle ipasavyo mbona huyo uliye naye utamuona kinyesi
Mwanaume pesa........
Mbona kama ana K...Tani imejichora kama K
nakumbuka siku moja ulinambia sifa ya mwanaume unayempenda.
Ulisema unampenda mrefu mwembamba kiasi..
Vp kuna uhusiano gani ktk mapend kat ya urefu wa umbo la mtu na ufupi?
Pm kuna mambo
mliulizana wapi NAOMBA KUSUTWA
basi uwe unanimsha twende wote gym
uwe unanipitia
Nitakutafuta unifundishe TWISHENI