Elections 2010 Makamba aanza zogo jipya!

Mimi simshangai makamba sababu shule yake inamruhusu kuwa fyatu. lakini Siyame alikataliwa waziwazi mbele ya rais na mwenyekiti wake wa Taifa, anadhani aliona dalili ya kushinda? Ni msomi huyo tena daktari bingwa wa macho lakini haimsaidii kuona kwa macho yake kwamba watu wake hawamtaki? Namfahamu sana bwana huyu hata sikushangaa alivyokataliwa. Sasa na aende mahakamani akavuliwe nguo za akili yake aumbuke zaidi. Ushauri wa bure asipokee na kufanyia kazi kila porojo za kina makamba.

Heri mimi sijasema.
 
Kwa tunavyojua mahakama zilivyo na zinavyofanya kazi inawezekana wakafanikiwa ila italeta vurumai kubwa sana sidhani kama raia watakubali.Na hapa amani ya nchi inawekwa hatarini.
 
Huu ndio mwanzo wa vurugu za kisiasa Tanzania. Dr Slaa alishasema kuwa kama nchi hii itaingia katika mgogoro wa kisiasa ni CCM na serikali yake ndio watakuwa wamechangia.

Tunajua wana jeshi la GG walilolitumia kwenye majimbo yenye utata sasa wanataka kutumia fursa ya chaguzi ndogo kuhakikisha kuwa wanawakusanya wanajeshi wao kwenye jimbo moja kwa wakati wake na kuhakikisha kuwa wanazima na kuwanyanyasa wananchi wasioitaka CCM.

Yetu macho, kama damu haitamwagika itakuwa miujiza
 
Makamba ,ana tapatapa huyo...
Kazoea mambo ya kiswahili swahili, anapenda league zisizo na miguu.
Nadhani kuna watu hapa duniani ziraili akiwachukua patakuwa na amani ya kweli.

PEEEEEOPLEEEEEEEESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS .............POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
 
Back
Top Bottom