masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Duuuh hii kitu sijui mnaipendea nini eti....af huko chini vipi mbona kama ke?
damnnnn
six package kutafutiana tb tu
Duuuh hii kitu sijui mnaipendea nini eti....af huko chini vipi mbona kama ke?
Ebwana kweli now nimeizoom kwa karibu chini kweli picha picha tuuHuyo ni mdada amaa? Maana ramani siisomi hapo chini!
vp kwan ww hupendi hyo six pack??
Huyo ni mdada amaa? Maana ramani siisomi hapo chini!
Ya kazi gani??
Sijaelewa hii quote yako "Tarime sehemu ya Amani ni kanisani au msikitini" una maanisha nini?damnnnn
Inahitaji exposure ya kutosha mwanamke kupenda sixpack....awa waswahili sio rahis kuelewa....wanaume mnaoponda sixpack mnataman ila sema hamuwez zipata wavivu....sixpack+escrow=mrembo yeyote pata