TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
kwani tofaut za madheheb zinazuia upendo.?Yupo tu wa kukupenda natamani hili chance niliingilie mimi.Kwani dhehebu gani?
mahusiano nayo ni sehem ya hayo maisha
Yupo tu wa kukupenda natamani hili chance niliingilie mimi.Kwani dhehebu gani?
mmmmh una maconfidence ww hadi unatupia picha hadharani hii inathibitisha kweli love life imekupigisha gwaride.
yaani dogo umefikiria saana ukaamua kuweka picha kabisa jf? Unadhani kina smile watakuhurumia kwa kuwa umetendwa mara tatu wakati wao ni zaidi ya mara ishirini?
ni vp nimwogope mtu??wakt pic niya kwangu....
pole kaka, huenda ukapata used(mwenye watoto) .huenda akakufaa kwa sabab anajua magumu ya maisha. Hawa wasio na watoto ni mapepe , huenda wakadhan unawapunja kwa sabab ushapitia weng , kwa iyo, used wanafaa zaidi.
urongo, tuseme yeye ni mtoto wa jiji hajui kuhandle mwanamke. Na vile vile anakutana na watoto wa jiji wenzie, ndio hapo sasa. Na hapa JF amekuja kujitoa sadaka.
pole kaka, huenda ukapata used(mwenye watoto) .huenda akakufaa kwa sabab anajua magumu ya maisha. Hawa wasio na watoto ni mapepe , huenda wakadhan unawapunja kwa sabab ushapitia weng , kwa iyo, used wanafaa zaidi.
Story ndeefu kumbe unataka mwanamke na simu umeweka na picha juu?? Kijana JF utalizwa zaidi ya hao wa chuo tulia utapata wa kwako
Ha ha ha eti used kuna brand new kweli siku hizi??
Ye mwenyewe used sasa ataogopaje kupata used? Kwanza huyo brand new anampata wapi?
Habari yako shemeji. Nimekumisi ujue!
Huyu kijana amevurugwa na maumivu ya kutendwa/kuachwa ma mabebs. Wanawake wote watatu anaowasimulia wao ndio wamempiga kibuti kwahiyo usimlaumu ni muhimu kumuelewa na kumsaidia kwakuwa hapa JF ndi hatari anaweza kuingizwa mjini zaidi ya huko alikotoka!
Nimesoma mahali hapa hapa JF kwamba kuna watu design ya akina Marry Hunbig sasa hao wakimpata si atapigika kisawasawa!
Hapa ndo nakwambia kajitoa kafara live bila chenga akutane na wakina Smile watambakisha na nini?
Ha ha shem nimekumisije wewe aisee...jamaa lakini hajasema anataka brand new ujue??