Siwezi nikaisaliti CCM

Siwezi nikaisaliti CCM

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,128
Reaction score
6,121
Habari wakuu Mimi bado ni mgeni katika Chama cha mapinduzi.

Nilianza kuwa mwanachama rasmi mwaka 2010 kwahiyo Nina miaka 15 Hadi Sasa.

Kwa Hali ilivyo Sasa haitakiwi akili ya mhemko hata kidogo maana komredi katupa jiwe na limetupata lakini haya maumivu hayawezi kutufanya tusiendelee na safari japo kuwa ni Kweli maumivu ni mkali hasa ukizingatia amepiga jiwe kichwani.

Tumetoka Mbali wanaCCM na tunakokwenda ni Mbali Zaidi maana tutakufa tutaacha Nchi Na vizazi vyetu.

Chama changu angalieni hili jiwe lisijeharibu utawala kabisa.

#KASSIMMAJALIWA
 
Yaani miaka 15 ndani ya chama wajiita mgeni? No wonder wasema huwezi "kukisaliti" chama kwa sababu hata baada ya muda huu wote, una uelewa mdogo kuhusu chama chako.
 
Chief Executive Officer
 
Back
Top Bottom