Siwezi kuongea

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Jamaa mmoja mgönjwa alienda kwa daktari akaweka kikaratasi kwenye meza kilichoandikwa siwezi kuongea.Daktari akamwambia aweke dole gumba juu ya meza.Jamaa akajua ndo maelekezo ya vipimo!
Daktari akachukua kitabu kizito na kumpiga nacho yule jamaa kwenye dole gumba.
Jamaa akapiga kelele AAAAAAAAAA.
Daktari akamwambia vizuri,leo umejua A,kesho njoo tena taratibu utajifunza kuongea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom