Siwezi kuoa single Mother

Uko sahihi .. japo wajinga wata panik
 

baba yako mzazi kusinzia kuwajibika, mama akajiongeza kwa kufanya biashara huku mtaji na gharama zingine zikisuruhishwa na mwanaume mwingine kama misaada.
Mama zetu wametutunzia siri za mapito ya maisha yetu,tuwaheshimu.
Angalia kwenye profile yangu .. ndio utajua nina miaka mingapi.

Kati ya vitu ambavyo siwez kubaliana navyo ni huo ushauri wako ..maana hauko realistic

Charity begins at home boss
 
Inategemeana na Huyo Singel mwenyewe, Acha ukatiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…