Siwezi kuoa single Mother

Amo1

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
1,728
Reaction score
2,776
Binafsi, siwezi

Sababu ni moja tu.

Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.

Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo wa misumari.

never ..

N̈B: We set standards
 
Sasa rafiki umeombwa uoe? na kama ni ivo sawa, kwanini usimwambie huyohuyo single mother alokwambia umuoe? na una uhakika gani kama wewe ndio mwanaume peke yako duniani? kila siku single mother wanaolewa na mambo yao yanakwenda uzuri tu aya hao unawaoa wewe? Ebu acha ubaguzi kesho yako huijui
 

Attachments

Si usioe tu mkuu? Kwanini unahubiri?
 
Una miaka mingapi ya umri wako?
Si kila uliskialo kwa ubaya litakuwa na ubaya kwako,wengi walio lea watoto wa kambo wamepata faraja kutoka kwa hao watoto kuliko watoto wa shahawa zao.
Usikufuru, inawezekana hata wewe umelelewa na baba wa kificho baada ya baba yako mzazi kusinzia kuwajibika, mama akajiongeza kwa kufanya biashara huku mtaji na gharama zingine zikisuruhishwa na mwanaume mwingine kama misaada.
Mama zetu wametutunzia siri za mapito ya maisha yetu,tuwaheshimu.
 
Hawa madogo wa Sasa wanakaririshana.
 
Kuoa single mother maana yake umeoa mke wa mwanaume mwenzio period.

Ukioa single mother maana yake unakuwa na uhakika usio na shaka kuwa

ULITOMBEWA HADI AKADHALISHWA,
UNATOMBEWA
NA UTATOMBEWA NI SWALA LA MUDA TU.


Hao na mwanamke asiye bikira kapu lao ni Moja anaweza asiwe na mtoto ila katoa mimba kibaaao
 
Zingatia tu huu usemi "kunguru hafugiki" kumbuka aliyezaa nae alimshindwa wewe utaweza?
 
Mimi nitaoa ila ni marufuku kuomba pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…