Siwezi kuoa kwa hali hii

Hii niliiona sehemu, kwa macho yangu. Tena wote ni wanandoa na ilikuwa lunch time, hadi nilishangaa...

Haya mambo yapo, japo hayamfanyi mtu kuogopa kuoa/kuolewa.
 
Hii niliiona sehemu, kwa macho yangu. Tena wote ni wanandoa na ilikuwa lunch time, hadi nilishangaa...

Haya mambo yapo, japo hayamfanyi mtu kuogopa kuoa/kuolewa.

Umenkumbusha kipindi nasoma chuo, wanawake ambao wameolewa ambao ni wanafunzi wa chuo, siku moja naingia kujisomea jioni class, nkaenda kukaa kiti cha nyuma ambako alikua amekaa mmama mmoja wa miaka kama 45 hv pamoja na kijana wa miaka kama 21 hv, wameweka material juu ya meza wakijidai wanasoma huku chini kijana kamuingiza mkono mmama wa watu anaugulia, dogo anampiga vidole mama wa watu! Yani we acha tu
 

Aisee hii ni hatari
 
Hii yote inatokana na mtu kutojithamini, kutomcha Mungu. Kutojua kuwa Mungu alisema ndoa ni Mke na Mme mmoja tu
 
Inawezekana na wewe ni mmoja wapo kati ya hao vijana wanao wala 100 wake za watu
 

Umenikumbusha tuliambiwa kwenye semina ya ufugaji Kuku kuwa uwezo wa Kuku kukumbuka ni mayai ma3, thanks na ubarikiwe maana lile desa nishalipoteza
 
Siku zote unatakiwa umtegemee mungu katika kukuchagulia mke mwema kama ww umetulia unajiheshimu na mchamungu kwanin mungu asikupe mke mwema?tena kama mwanamke hakufai mungu atakuepusha tu, mtahangaika sana hapa jf na mada zenu zisizo na kichwa wala miguu lakini MUNGU ndio kimbilio pekee katika kutafuta mume mwema/mke mwema kinachotakiwa ni subira na uvumilivu tu,pia msisahau MZINIFU hupewa MZINIFU mwenzie.
 
ha ha ha TANMO unankanyagia waya tu wewe
sa ukiwa ticha wa madokta si ni ticha tu mi nataka docta ha ha ha

Well, yaani nakuwa Dokta aliyebobea.
Hivyo usihofu, umepata Dakta Ticha,
By the way nitakuwa navaa Koti jeupe hata Darasani.
Naanza vikao vya maandalizi ya Harusi yetu my Wife Evelyn Salt.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…