Siwezi kuoa kwa hali hii

inawezekana haswaa shetani akiamua lake....mbona watu povu linawatoka hasa mlio oa lol..mwenzenu katoa hisia zake kwa aliyoona u may take or leave it !!!

Sijui kama umewahi kuchunguza nguvu ya mawasiliano, hasa internet inavyo weza kutumika kuharibu mind set.

Kuku maji mmoja kaokota kihadithi kisicho na mashiko anataka kuaminisha umma ndoa zote zionekane uozo. Sikatai kwamba kuna maovu yanayofanywa katika ndoa. Lakini umefanya study kabla huja-distribute information yako? Idadi ikoje? Ni uchunguzi wa Dar pekee? Unafahamu idadi ya ndoa zilizopo? Zilizo vunjika je? Sababu ni hii?

Kuku wa namna hii usipo waambia wanaumiza wengine hali wao wameoa au kuolewa au wako kwenye michakato na maisha yanaendelea. Sipendi kuona mtu anaharibu akili za vijana kirahisi rahisi hivi.
 

una ushahidi wowote wa picha au video?
 
watu wanachezeana mpaka ndani ya ofis ndo iwe saa moja ndefu sana
 
watu kwa ubishi daaah kweli wenye ubongo mbovu ooooor nooo wabongoo
 
Mm binafs naamini kuna vitu vikuu vitatu au vinne vinavyomfanya mtu achepuke....
1.Ni tabia yake
2.Tamaa
3.Haridhishwi na mtu alienae kimapenzi
4.Kuoa/kuolewa na mtu ambae si chaguo lako kwa kulazimishwa au laaah.

Na hii si kwa alieolewa na kuoa tu ..,hapana hii inajumuisha watu wote waliokidhi vigezo vya kushiriki tendo hilo
 
Mleta mada kama haujatulia hivi!!!!!!! unasema hautaki kuoa,usiamini kila usikialo na uambiwalo na wenzio,wengine ni sifa tu anataka aonekane kuwa anatoka na demu mkali kumbe wapi,tunawaona mitaani.Halafu mwanaume haogopi kwa upande wangu nawaamini sana wanaume sijui wewe
 

Kuku????
 
acha kuchunguza maisha ya wengine tengeneza yakwako.
afu najiuliza umejuaje wanafanywa kinyume na maumbie au hawatumii kinga au nawewe ulishajipatia mojawapo
 
acha kuchunguza maisha ya wengine tengeneza yakwako.
afu najiuliza umejuaje wanafanywa kinyume na maumbie au hawatumii kinga au nawewe ulishajipatia mojawapo

si kuchunguza mkuu, kama yapo yapo tu...
 
Hakuna kitu kama hicho. Kampuni gani binafsi wanamuda wa kupoteza hivyo. Mapenzi gani ya one hour. Hata kama watu wanachepuka siyo kihivyo. Usiwaogopeshe watu

ur really Great thinker,hii story ni ya kutunga,hivi inakuaje mtu anapata muda wa kutunga story nakuiweka hapa,what his intention,anyway sifanyi kazi private na sijaoa lakini hii story ina walakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…