Siwezi kumsamehe muongo

Siwezi kumsamehe muongo

Ukiambiwa Ukweli kila siku utataman Uambiwe Uongo....Jaribu kusamehe kwa kila unaloelezwa na mwenz wako
 
Hapa ndipo walimwengu tulipofika
acha uoga simamia ukweli, si nihiyo hiyo dini tunayo amini ndio kuwa mungu anajua ya jana, leo na kesho yako! sasa iweje mungu huyu akuumbe asijue kuwa ww lazima utakuwa muongo muongo tu toka on that day akuumbe? nijibu hapo ndio tuendelee
 
Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya.

Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana mtu akiniongopea.

Je, ni kawaida kushindwa kusamehe? Nifanye nini ili niweze kusamehe kutoka moyoni?

Soma vitabu vyako vya Dini...
 
Hebu muite aseme
Nikimuita atanza kunikoromea na kutoa mapovu na kupandisha mashetani bhanaa,niliwahi kutoa rai kwa wanajamii, waache kuweka picha ya vitoto vya kike kwenye avatar zao,lakini naona mwendo ni ule ule,maana wanatumix bhana,imetokea mara nyingi najikuta nawatongoza halafu wananikoromea,jamani wanaume acheni hizo,mtakuja kufuatwa PM na kupewa mistari halafu ma babes wenu waone na kuwakimbieni.
 
acha uoga simamia ukweli, si nihiyo hiyo dini tunayo amini ndio kuwa mungu anajua ya jana, leo na kesho yako! sasa iweje mungu huyu akuumbe asijue kuwa ww lazima utakuwa muongo muongo tu toka on that day akuumbe? nijibu hapo ndio tuendelee
Tumeumbwa ktk hali ya dhambi lkn pamoja na hayo Mungu ametupa wepesi wa kuchagua tuonayo mazuri kweli sasa yeye hawezi kukujia physically akuonye,usitegemee kuna means ktk hilo na mbali na hiyo elimu ya magharibi unayoisema ambayo me sijui ni ipi kwenye hili,kuna kitu kinaitwa dhamira hii itakuonya tuu ktk njia zako hata km hujafunguliwa vitabu kufundishwa labda uipuuze hiyo dhamira,Mwenyezi Mungu sio mjinga yaani katukamilisha kila idara hakuna excuse kwa ulifanyalo ukisingizia wazungu/wamagharibi unapotea-JAPO SIO JUKWAA LA DINI,mnisamehe
 
Nikimuita atanza kunikoromea na kutoa mapovu na kupandisha mashetani bhanaa,niliwahi kutoa rai kwa wanajamii, waache kuweka picha ya vitoto vya kike kwenye avatar zao,lakini naona mwendo ni ule ule,maana wanatumix bhana,imetokea mara nyingi najikuta nawatongoza halafu wananikoromea,jamani wanaume acheni hizo,mtakuja kufuatwa PM na kupewa mistari halafu ma babes wenu waone na kuwakimbieni.
Ha ha haaa ukome nawewe
 
Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya.

Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana mtu akiniongopea.

Je, ni kawaida kushindwa kusamehe? Nifanye nini ili niweze kusamehe kutoka moyoni?
Nikawaida kwa kila Binadamu kutopendezwa na Uwongo,ila kuna wengine wameufanya uwongo kama maji kama hukunywa
basi utakoga, lakini ukumbuke binadamu husamehe yana na ukiwa kama binadamu hakuna alokamilika aso hili analile japo chembe,wewe binafsi unamapungufu mimi nna mapungufu na mwengine vile vile,ila inategemea wewe vipi unamchukulia mwenzio mapungufu yake,ikiwa mwenyezi mungu tukimuomba anatusamehe kwanini wewe usimsamehe binadamu mwenzio? jaribu sana kujiombea Dua na muombe mwenyezi mungu sanaa akupe moyo wakusamehe nakusahau na uchukulie kama mitihani kutoka kwa mwenyezi mungu na vile vile ebu jaribu kujiweka wewe kwenye nafasi ya huyo alokukosea jee kama umekosea wewe hustahili kusamehewa? anza pole pole na una seem kua na Hasira usijikere..
 
Ha ha haaa ukome nawewe
Sio hivo mamii,wanasababisha tatizo,na mimi nitaendelea kukoromewa tu na nasema tena nikoromewe tu maana hamna namna wamechoka,na mimi nisione tu picha,naanza kuwashobokea mpaka PM,hapooo sasa sikiliza kivumbi yakeeee weee,utafikiri nimetupia jiwe mzinga wa nyuki.
 
He heee we jifanye moyo mgumu
 
He heee we jifanye moyo mgumu
Sasa ntajuaje? maana nikiona picha halafu text,inaonesha huyu atakuwa auntie fulani kumbe duuuuuh ni njemba,hapooo sasa inakuwa SOKOMOKO,lakini sio kosa langu inabidi nijibu mashambulizi mpaka BAN inanikuta paaaaaaaa.
 
Nikawaida kwa kila Binadamu kutopendezwa na Uwongo,ila kuna wengine wameufanya uwongo kama maji kama hukunywa
basi utakoga, lakini ukumbuke binadamu husamehe yana na ukiwa kama binadamu hakuna alokamilika aso hili analile japo chembe,wewe binafsi unamapungufu mimi nna mapungufu na mwengine vile vile,ila inategemea wewe vipi unamchukulia mwenzio mapungufu yake,ikiwa mwenyezi mungu tukimuomba anatusamehe kwanini wewe usimsamehe binadamu mwenzio? jaribu sana kujiombea Dua na muombe mwenyezi mungu sanaa akupe moyo wakusamehe nakusahau na uchukulie kama mitihani kutoka kwa mwenyezi mungu na vile vile ebu jaribu kujiweka wewe kwenye nafasi ya huyo alokukosea jee kama umekosea wewe hustahili kusamehewa? anza pole pole na una seem kua na Hasira usijikere..
Bhana huyo kaumizwa tayari,muacheni atoe hasira zake na tumpe pole na kumuunga mkono,si unajua kuna wanawake na wanaume ambao huwatumia wenzao halafu kuwapiga chini?,basi huyu ndugu yetu ndio yamemkuta,haya mapenzi ya siku hizi mengi ni Mchina sio genuine,ukisha liwa watu wananawa mikono na kuondoka.
 
aisee wakuu mienikua nadanganya mpasehem abayo haisitaili ungo ikefika maal kumdaganya BOSI kimeota kibalua cangu. nawaza nifanyeje kuukwepa uongo?
 
Nini shida mrembo?? Kweli banaa usikubali wakudanganye kirahisi rahisi
 
utajiumiza sana kwa hali hii....acha kujipa stress na uongo hautaisha ilimradi uk duniani....samehe sepa isikukost badae
 
Back
Top Bottom