Siwezi kumsamehe huyu.

Mpwa wangu wakati mnapeana mavituz mbona hujawahi kuanika hayo maraha yenu? mbona sasa leo unakuja unatoka povu hivyo? Mi wanawake wote nilioachana nao tuliachana kwa amani na karibia asilimi 99% ninaendelea kuwasiliana kwa deal mbali mbali........mmoja aliolewa na tena sitasahau meseji yake iliokuwa na maneno haya UKIUMWA NA NYOKA UKIONA NYASI UNASHTUKA japo sikuelewa maana yake hadi kesho but tumeendelea kuwa marafiki sana tu, ananipigia simu nampigia tunaendelea kuwasiliana na LIFE goes on.
 

yaani umejiunga jf kwa ajili ya kuweka ujumbe huu tu..alikula mini kabang nini?au umesikia kuwa ni mwanachama wa jf?
Pole sana ndim usipende kulipiza kisasi
 
Dua la kuku???
Wenzio wanaoa na kuendelea na maisha yako wewe bado upo nyuma ukiumia na mambo ya kale.......
 
yaani umejiunga jf kwa ajili ya kuweka ujumbe huu tu..alikula mini kabang nini?au umesikia kuwa ni mwanachama wa jf?
Pole sana ndim usipende kulipiza kisasi

kumbe mini kabang ndio imetumika kupunguza ukali wa maneno loo!!! Asanteni
 

pole sana dada yangu kwa yaliyokukumba,natambua haluna mtu amayeweza kufahamu uchungu uliosababishiwa na huyo mtu,but what i believe the most painful revange ever given is that of forgiving,msamaha na in fact mtakie one day atakuja kwa miguu yake ku admit that he was wrong,pole sana.
 
hivi kila unaye du-nae lazima aji-commit kwako?
 
Ndio huyu hapa nimeshampata usijali tena

Bahati nzuri na yeye kaanzisha thread
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/566857-nimemuumiza.html

 
We mdada kwani huyo kaka ulizaliwa nae Kwani ww hujawahi kumwacha mtu anaye kupenda! Ushauri endelea na maisha yako na Mungu atakusaidia, achana na huyo kaka na yeye aendelee na maisha yake!
 

 
Acha mikwara mbuzi wewe...

 
nipo UKEREWE NJOO ,UMEJIANDAA VYA KUTOSHA.
WEWE SI ULINIZINGUA?
WANAUME HUWA HATU CHULIWI.
MWANANGU ANAITWA JAPHETI.



Uje SD jion,kama utaweza fika upo ukerewe,then uniambie upo wapi nimtume mtu atoke Muriti akufuate ulipo.
 

hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naomba kuuliza MAPENZI NI FADHILA??? Kaizer, snowhite nijibuni jamani
 
Last edited by a moderator:
nunua busara za Mandela usije ukaishia kuwa Mushi ama Munisi ohoooo..
 
jifunze kusamehe, maisha yatakwenda tu mbele bila yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…