Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,311
- 7,658
- Thread starter
- #41
hakuna msiba usiokua na mwenzakeHii Tabia Hata Mie Ilishanishinda Kabisa, Nikifanya Mapenzi Na Mwanamke Ndo Kwa Heri Yake Kila Mtu Asimjue Mwenzake,
Lakin Kuna Msichana Sijui Alinifahamu Kwa Hilo Nili Date Nae Nikamukaushia Akaja Akaniambia "hivi Utatembea Na Wangapi Lakin"
Nlikosa Jibu La Kumupa Nkamukaushia Tu