asante mkuu..ila hiyo namba mbili hapana maana siwezi kukaa single zaidi ya mweziMkuu pole kwa changamoto yako. Naamini haupo pekee yako mwenye tatizo ilo sema tu wewe umeshindwa kuvumilia.
KIINI CHA TATIZO LAKO ni hiki
1.Unamfata mwanamke wakati una mihamko ya kimwili na lengo lako kuu kukizi haja yako tu.Hata akili na mawazo yako umeyapanga hivyo.Kwa hiyo ukimaliza shida zako ndio hapo nafsi inarudi ktk uhalisia wake
2.Pengine unaishi pekee muda mrefu bila ya mahusiano.kwa hiyo ujazaea kukaa na mtu kimapenzi.
3.Pia unawafata wanapishana na matakwa ya maumbile yako.
NINI CHA KUFANYA MKUU
1.Usipende kufata au kumwendea au kumtongoza mwanamke wakati wewe una hisia za ngono
2.Hakikisha nafsi yako imemkubali haswa haswa alivyoo kabla ujawaza tendo la ngono.
Pia usihofu kuwa hutoweza kukaa na mkee..utaweza sana tu.Kama utamfuta kwa kuangalia nafsi yako inahitaji mwanamke wa aina gani.
Kuna sehem ulikanyaga moto. Angalia vizuri.Habari za weekend wakuu,
Nimekuwa katika mahusiano na wadada wengi sana, tatizo linakuja huwa sidumu na msichana kwenye mapenzi. Ninaweza kumtamani nikamtokea akinikubalia, nikishafanya nae mapenzi ndo baasi tena namchukia na namuona wa kawaida mno na hapo ndo kumuacha kunapofuatia.
Yaani ninaweza 'date' na wasichana wawili na nikawaacha baada ya mwezi mmoja. Mwanzoni mwa mapenzi ninakua na hisia na huyo mtu lakini akishanivulia nguo ya ndani tu sina hamu nae.
Huwa nasema, kwa hivi nilivyo sidhani kama nitakuja kuoa. Najiuliza nitakua na tatizo au ni kawaida?!
anajiendekeza tu mbona tulipita umri huo lakini hatukujiendekeza kiasi hichoHuna tatizo lolote..ni umri ulionao
asante mkuu i will give it a tryIngia kwenye mahusiano na mtu mnayeweza kukaa na kuongea mengi, mwenye mtazamo sawa wa maisha, mnao share interests, mnaoelewana (kwa mfano similar sense of humor), hadi asipokuwepo unahisi mambo hayako sawa, RAFIKI YAKO.
sio unakaa Siku nzima umemsahau, unashtuka usiku unawahi kumtumia msg, na Hata msg unatuma ili asikuone unampotezea na sio kwa sababu una hamu ya kuongea naye.
ukiingia kwenye mahusiano kwa sababu chura ananesa nesa..........