Duniani kila kitu kinaliwa, inategemeana na mahali ulipo na upatinaji wa chakula mbadala. Tunakuwa na uwezo wa kuchagua kwa kuwa kuna mbadala. Ni matumaini yangu kuwa njaa ikipiga, halafu hao wadudu wawe ndio aina pekee ya chakula kilichopo.......utawala tu, hata bila kuhoji.