- Thread starter
- #41
kazi sana kujibizana na watu wanaojifanya hawaelewi kama wewe!Sasa kama hupendi mbona unavyo vyote,kamasi unalo,nyaa ndio usiseme,mikoozi..
Nilifikiri hupendi kuona vitu ambavyo huna teh teh teh...

Mkuu kusema ukweli - ujue kitu chochote kinachotoka katika mwili wa binadamu ni uchafu, na kama ni uchafu nini tunachotakiwa kufanya?.... Ni bora tuutolee uchafu wetu eneo husika au pasi kuonekana na mtu mwingine, sababu mwingine akiona haileti picha nzuri kwa hulka zetu za kibinaadamu.Sasa kama hupendi mbona unavyo vyote,kamasi unalo,nyaa ndio usiseme,mikoozi..