Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
mtu amabe haflash choo inaboa unakuta choon kuna maji
laki anatoka hivo hivo kaacha mitoilet paper juu arghh
laki anatoka hivo hivo kaacha mitoilet paper juu arghh
yaani anaboaje! sielewi akirudi mara ya pili huko chooni na akakuta uchafu huo, huwa anafanyaje!!!!mtu amabe haflash choo inaboa unakuta choon kuna maji
laki anatoka hivo hivo kaacha mitoilet paper juu arghh
simpendi mtu mwenye tabia hizo, ushawahi kuona tabia zikajitokeza bila mtu kuwepo, anayefanya hivyo ni mtu na wala tabia hazikai juu ya mti, ni mtu anaamua ngoja niteme mate, kwa hiyo wewe una maanisha mtu akikojoa barabarani
utampenda ila utachukia tabia zake(kivipi hapo?)
wanaolala huku wameacha mdomo wazi, halaf mate yanadondokea kwenye shuka. ukiamka asubuh unakuta raman zisizoeleweka kwenye shuka.
hizi tabia mtu anaweza kubadilika akiamua, sasa kubanja si ni mtu anaumwa, wembamba, unene, weusi au weupe si ni asiliNi vipi kama ni mama yako mzazi anafanya mojawapo ya hizo tabia??!
Utamchukia mama??
Au ile tabia yake.
I think tunachukia tabia bhana.
Na ni vitu vidogo vidogo vinavyobadilishika.
Unaweza mchukia mtu kwa ufupi wake, wembamba wake, weusi wake na kadhalika.
Lakini tunachukia tabia za kucheua hovyo, kubanja, na mengine yametajwa.
na wanaokojoa popote pale hasa wanaume, hata nyuma ya gari yaani mtu anakojoa tu jamani unaondoa utu wako kiasi hicho, hatuna ustaarabu!!!!
hapana ile ni kutokujielewa hawana makosa.wanaolala huku wameacha mdomo wazi, halaf mate yanadondokea kwenye shuka. ukiamka asubuh unakuta raman zisizoeleweka kwenye shuka.
we unapenda kipi hapo au vyote!Kaishi kwenye Nchi yako mwenyewe. Halafu we binti sijui una matatizo gani? Yan kila kitu hupendi.