Da tupo tofauti,mie nawakubali sana mods wapo makini sana,nauhakika serikali ikiwa na wafanyakazi kama walivyo ma-mods basi tz ingekua zaidi ya marekani
Kuondoka kutamsaidia, kulalamika hakutomsaidia.Labda uelewa wako wa akili ni mdogo sana. Hivi mtu akimchukia JK basi anapaswa ahamie nchi ambapo JK siyo Rais? Basi wangehama wengi sana kwenye hii nchi.
Narudia tena haujalazimishwa kuwepo hapa.Kama huwapendi nenda sehemu ambayo hawapo.
Sababu ninazo, ila sitazisema kwa sasa.
Kifupi siwapendi hawa jamaa kwa ujumla wao!
Naomba hisia zangu ziheshimiwe...
Huyo mume uliyenipa akaniacha alikua baba yako ama?sina shaka kwanini uliachika kwa mumeo wakati hata miezi mitatu ya ndoa ulikuwa hujafikisha. Majibu ya kinaa kama haya, ati kama hupendi uondoke, hata huyo mume angekuwa zoba kiasi gani?
Huyo mume uliyenipa akaniacha alikua baba yako ama?
Hahahaha. . . eti mama kama mimi? Jeuri hiyo utaipata wapi?siwezi kuwa na mama kama wewe, ni aheri niwe yatima.
Yani siku niwe na shida uniambie nihame? Afu hata huyo babangu angekuwa boya kiasi gani asingeangukia kwako... Hufai chukuchuku wala kwa mchuzi!
siwezi kuwa na mama kama wewe, ni aheri niwe yatima.
Yani siku niwe na shida uniambie nihame? Afu hata huyo babangu angekuwa boya kiasi gani asingeangukia kwako... Hufai chukuchuku wala kwa mchuzi!
wao mods wanakupenda sana, usiku hawalali, wanaiwaza avatar yakoSababu ninazo, ila sitazisema kwa sasa.
Kifupi siwapendi hawa jamaa kwa ujumla wao!
Naomba hisia zangu ziheshimiwe...
Cha kupapatikia hapo nini?huyu ajuza anapapatika kwa mods sana!angalia threads za complaints vs mods utaligundua hilo.mkuu hawa mods wamekuwa polisi na sio waanzishaji au waendelezaji mijadala.
Apige avunjike kongosho!
Jamani mi ningekuwa karibu yako ningekuchumu, aise hus umempatia. Amefikaje humu kama hawapendi wanaomuongoza? Unapendaje kusafiri wkt humpendi dereva? Nwy, option ya ziada aanzishe forum yake ili yeye awe mod na awe mchangiaji.1.Kunywa sumu. 2Kadumbukie baharini. 3. Ondoka jf. 4. Wakubali vile walivyo. Nimekupa choices.
si utulie ntatumia tu., tumia kichwa bwana!!
huyu ajuza anapapatika kwa mods sana!angalia threads za complaints vs mods utaligundua hilo.mkuu hawa mods wamekuwa polisi na sio waanzishaji au waendelezaji mijadala.