Siwapendi mods.

hebu nenda jukwaa la malalamiko, kuna uzi unanihusu.
Cheki nao afu nitaku-PM nikuambie.
Au sio?
Kwenye wengi inabidi ukubali na mambo ya wengi,vumilia kaka na usiwe mwepesi kumind...km mambo yakikwama basi unapotezea
 
mods wana dabostandads, afu wana roho mbaya sana v/s non premium members.
Ni ukweli ulio dhahiri, nasema kwa kwa kinywa kipana!
 
Kwenye wengi inabidi ukubali na mambo ya wengi,vumilia kaka na usiwe mwepesi kumind...km mambo yakikwama basi unapotezea

navumilia kaka,
ila angalau niache niseme, machungu yatapungua kidogo.
 
Da tupo tofauti,mie nawakubali sana mods wapo makini sana,nauhakika serikali ikiwa na wafanyakazi kama walivyo ma-mods basi tz ingekua zaidi ya marekani
 
Si unamwambia ahamie kwingine. Kwani umeambiwa watu wamekuja JF ili wawapende mods?

Na tafsiri yako hapo ni "wapende mods" ???
Kama hawapendi aende ambapo hawapo au atulie, sio analeta malalaniko yasio na maana.
 
Na tafsiri yako hapo ni "wapende mods" ???
Kama hawapendi aende ambapo hawapo au atulie, sio analeta malalaniko yasio na maana.

Labda uelewa wako wa akili ni mdogo sana. Hivi mtu akimchukia JK basi anapaswa ahamie nchi ambapo JK siyo Rais? Basi wangehama wengi sana kwenye hii nchi.
 
Labda uelewa wako wa akili ni mdogo sana. Hivi mtu akimchukia JK basi anapaswa ahamie nchi ambapo JK siyo Rais? Basi wangehama wengi sana kwenye hii nchi.

achana nae huyo,
namjua tangu udogo wake, ana kifafa ambacho hakiponi, mpaka India wameshindwa. Nahisi hapa anatafuta wa kumfia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…