Eti eeeeSio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Smtyms God wants to meet wrong ppl inoder to learn smthing.
Sio kila msichana ana double face. Wapo ambao wapo comitted wawapo ktk relation ladba bado hujakutana nao. Sometimes God want us to meet wrong people inoder to learn something. Relation ikivunjika kabla ya kuanzisha nyingine ni lazima mtu hujioji sababu ni nn na mm nimechangia vp kuvunjika koz mchezo huchezwa pande mbili.
Eti eeee
Kimsingi hutakiwi kuweka imani yako kwa mwanadamu awaye yoyote.
Ni kweli unayoyaongea ujue tumeathirika na msemo wa samaki mmoja akioza ni wote kuna baadhi ya wanawake pia wakitendwa huwa hawatamani kumuona mwanaume wa aina yoyote na ukifanikiwa kumpata mahusiano huwa magumu sana kipindi cha mwanzoni vivyo hivyo kwa wanaume.Ndio Daudi1.. Kuumizwa katika relation tofauti na jinsia husika sio kigezo cha kuiona jinsia husika wote wapo hivyo. Tunaumizwa,mahusiano yanavunjika na tunaanzisha mengine u never know oneday utampata wako wa uhakika.
Inasemekana wanaume ni wazembe sana ikitokea wamependa kweli huwa wanakuwa mazombi zaidi,kuliko hata mwanamke anapokuwa amependaHilo ndilo neno and the topic is closed. Kuna watu wengine passwords zote wanaacha kwa mdada unategemea nn mtoto wa kiume?