Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,035
- 142,951
Tumuite msaliti Lema na ikiwezekana tuandamane basi kama unaona kakosea,mambo mengine hayahitaji akili nyingi kuona hili sawa au la
Kwa hiyo Lema ni msaliti aa mabadiliko?Umesahau wapinzani walipotoka Bungeni na kuitwa watoto Zitto alibaki na kusifiwa ila jiulize ni nini leo hii kinampata.
Marekani imekujaje mkuuTanzania hatuishi kwa kutumia taratibu na mila za kimarekani.
Kwa msingi huo, ndiyo maana sheria zetu ambazo msingi wake ni mila na desturi ni tofauti na sheria za Marekani.
Nakumbuka mwaka juzi kuns cartoonist alimchora Zuma with his genitalia hanging. Hakuns walichomfanya huyu cartoonist zaidi ya basdji ya watu kulalamika tu. Walichobshstika kufaulu watu wa serikali ni kuiomba mahakama iamroshe ile katuni isowekwe tena public. Lakini cartoonist hakufanywa chochote kws sababu ya umuhimu mkubwa wa fredom of speech kwa SA. Ingekuwa kwetu sijui ingekuwaje!
Kweli kabisa pengine Lema ni msaliti!Tumuite msaliti Lema na ikiwezekana tuandamane basi kama unaona kakosea,mambo mengine hayahitaji akili nyingi kuona hili sawa au la
ni kweli kabisa kiongozi nakuunga mkono." Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu .
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)
Kwahiyo lema ameona mkate wake unataka kutafunwa!?Huwezi jua.Labda dogo katangaza nia kugombea Arusha
Mkuu huyu mwana maigizo kama wenzake aliowaacha bungeni na lengo lake limetimia maana kututaka wengi humuKwahiyo kama alifanya kosa kwa kutokemea wakati huo aendelee kufanya kosa?
Huo ni ukomavu wa kisiasa. Ikumbukwe mtu anayekuzidi umri au madaraka ni kufuru kumtusi." Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu .
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara "
Godbless Lema (Mp)
Lema mcheze sinema tu kama wenzake kina bwege kule bungeniKwahiyo lema ameona mkate wake unataka kutafunwa!?
Hamna udikteta wowote ukweli ni kwamba kijana hana adabu tena hakustahili faini kabisa ilitakiwa akiliwe kiboga ndio angejifunza kuwa na adabuYeah kama ambavyo haikuhitaji akili nyingi kuona kuwa kilichopa hapa ni udikteta tu na si jingine.
Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
Lini wapinzani wa Bongo wamewahi kulipwa kwa siasa za kistaarabu?Huyu Lema kesho na keshokutwa anaweza kupigwa virungu kama sio mabomu ya machozi na nyie wafuasi wa CCM mnaomsifia leo hii ndio mtakuwa wa kwanza kumkejeli na kumdhihaki na hata huyo anaemtetea leo hii nae hatamsaidia kwa lolote.Kwa hiyo Lema ni msaliti aa mabadiliko?
Kemea kwanza tendo linalofanywa na vijana na madiwani wenu. Kitendo cha kumchangia fedha mtuhumiwa kinatoa taswira mbaya kwa chama chenu japo wengine wanaona ni kitendo cha kishujaa lakini huwezi kuenzi ushujaa katika mambo ya kijinga.