Asante asante kwa maneno yenye ukweli unaouma.Ni Kweli, Lakini Busara Ya Kumkanya Na Kumsaidia Ni Bora Zaidi Kuliko Kumwacha Akaozee Jela Wakati Inawezekana Kumrekebisha Mtaani.
Je, Huyo Hakuwa Mmoja Kati Ya Vijana Walioitwa Wapumbavu Kisa Wanataka Mabadiliko?
"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Ushawahi kuona mtuhumiwa anakwenda kujishitaki? Mkuu josam kama uanona umetukanwa si unakwenda kushitaki. Au hata kushitaki ulizuiliwa? Hebu tuache katabia ka kulalamika bila kuchukua hatua stahiki kisheria. Mtu unahisi amekutukana unataka yeye aende akajishtaki?Wakiitwa wao wanachukua hatua za kuwafunga walio warudishia. Ila wao wakitukana wananchi ni sawa!? Oooh malofa, wapuuzi, mabwege, vihiyo, nk.
Baba ukikosa heshima watoto watakuiga na usishangae.
tatizo hauelewi we ndo kilaza .....yaaaan unatAKA RAIS ATUKANWE WE PUNGA KWELISasa mwenye haki ya kutukana ni nani mkuu?kwahiyo kuna watu maalumu wa kutukanwa na wengine si ruhusa kutukanwa?
Kwani bwege maana yake ni nini wakuu, hata mimi siungi mkono matusi, na kwa humu JF ukitukana huchelewi kupata ban
"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Maana ya neno"bwege"kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu ...
www.jamiiforums.com › ... › Jukwaa la Lugha
Translate this page
Apr 16, 2016 - Ingia kwny kamusi ya kiswahili angalia maana ya neno bwege utaona tafsiri yake ni. . . . "mtu asiye na akili sawa sawa, hafundishiki, ********"
Kama una uumini uhuru wa mtu, iweje mwanao ameamua kuwa shoga, umtolee radhi,wakati hajakukosea wewe, huku ukijua kumtolea radhi ni kumuadhibu.Nahonyo, uko sahihi kabisa kabisa ! 100%. Argument yangu ni kuwa ushoga ni personal issue. Ni uhuru wa mtu - hakuna haki ya jamii iliyovunjwa. Mila ni mambo yanayobadilika as long as huvunji haki ya mtu au jamii! Ni kama tendo la ndoa, haliruhusiwi hadharani lakini watu wanafanya vyumbani. Sitetei ushoga, ila natetea haki ya mtu kuwa huru bila kuvunja haki binafsi ya wengine au jamii! Mwanangu akifanya ushoga nitamfukuza kwangu na kumtolea radhi, lakini uhuru wake afanyie huko sio kwangu na sitamuingilia kwake!
Kwa hiyo unataka kujilinganisha na Rais wa nchi?
Gharama za kukutunza unataka kuzilinganisha na gharama za kumtunza Rais?
Kama bwege si tusi ,basi wewe ni bwegeBwege si tusi. Ni neno lenye maana katika lugha ya Kiswahili.
Angeukizwa kwa nininkasema rais bwege ajitetee.
Kwangu mimi Magufuli ni bwege.
Kwa sababu hajui kachagukiwa kufanya nini.
Kachagukiwa kutetea utawala wa sheria halafu anawaambia polisi waibe matairi ya magari na kudanganya kwamba hawajaiba kama vike magari yanaweza kuja kituoni bula matairi.
Rais anayetoa kauli hii ni bwege.
Radhi ni mli yangu lakini uhuru wake sio wangu! Sijaingilia uhuru wake katu!Kama una uumini uhuru wa mtu, iweje mwanao ameamua kuwa shoga, umtolee radhi,wakati hajakukosea wewe, huku ukijua kumtolea radhi ni kumuadhibu.
Nimekusoma kwa uzuri mkuu, kwanza Nchi hii kwa sasa haina system yeyote. Kwanza nchi ikombolewe kwanza, ndipo heshima iwepo!Ni Mara ngapi JK alitukanwa mpaka kwa njia ya picha? Mbona hukutia neno?
Au akina Lowassa,mgombea wa chama chako ametukanwa Mara ngapi? Au yeye anastahili matusi ya kuji.NY.ea KWA kuwa sio rais? Sasa bwana mkubwa,kila enzi na kitabu chake.
Acha akina Pepsin tuendelee kutukanwa KWA kuwa sisi sio marais!
Marekani ya leo siyo ya kujifananisha nayo hasa linapokuja suala la maadili! Hatuwezi kukubali Rais wetu atukanwe kisa Obama amatukanwa. Rais wetu anatofauti kubwa na rais Obama kimsimamo na kimaadili lazima tukubaliane na hili. Lazima TUJITEGEMEE katika maamuzi yetu ya kujiongoza.
Kama unaonavema, kutukana kwa madai raisi wa marekani anatukanwa hamia huko Tanzania Hatuna utamaduni huo
Inawezekana.Kama bwege si tusi ,basi wewe ni bwege
Siyo rais wa Marekani tu.
Hata wa Kenya tu hapo.
Achilia mbali akina David Cameron, Jacob Zuma, Francois Hollande na wengineo huko kwenye demokrasia kutushinda sisi.