Siuji kwanini iko hivi

Siuji kwanini iko hivi

^^
Chukua mikono yako miwili..
Kila mkono utanue vidole vyake..
Utazame nafasi za wazi kati ya kidole na kidole..
Kisha iunganishe mikono yote miwili.
Kuna furaha mikono inapoungana.
NDIVYO YALIVYO MAPENZI
Ktk mapenzi wanakutana watu wenye madhaifu ili wazibiane mapungufu.(Hiyo ndiyo sababu)
Ukikuta ndoa ya 'The Rights' ama haidumu au mmoja atakufa

Duh hapo nilipobold sio kila wakati ni kweli mkuu. Sasa hawa vijana wanaolia kila siku kutendwa ina maana wataendelea kutendwa tu hawatapata miss/mr right????? Ninaposema miss/mr right simaanishi kwamba hawana mapungufu swali langu ni kwamba kwanini watu wanaoendana hawakutani. Hebu fikiria unaweza kukutana na mdada mwenye tabia njema kabisa na upande wa pili unaweza kutana na mkaka mwenye sifa njema sasa hawa 2 kwanini inakukua ngumu kukutana.
 
Ablessed sijui unachomaanisha unaposema "mr/miss right..." ila ninachojua "kilichochema kwako ni kwako si kwa mwenzio"
 
Last edited by a moderator:

Fuatilia vizuri utakubaliana na mimi,,pili si kwamba hawakutani watu wa aina hiyo ila wanakutana kwa mivuto mikali na uhusiano wao kuchuja upesi..siku zote nasema uhusiano wenye mivutano ya hapa na pale inayotatulika unadumu sana kuliko ule ambao wakati wote mnapatana kwa kila kitu.
^^
 
Ablessed sijui unachomaanisha unaposema "mr/miss right..." ila ninachojua "kilichochema kwako ni kwako si kwa mwenzio"
Kwangu hakuna kilichochemka mambo yangu yako safi sina shida ktk hili bali nataka tujadili ili tuweze kuwasaidia wengine kwani vilio vimekua vingi hapa jukwaani .
 
Habari zenu wana jamvi,

Kwanini inakua ngumu hawa watu kukutana? Mr right kumpata miss right inaonekana ni kama ndoto vile. Kinachonishangaza hawa wote wako kwenye jamii lkn hawaonani.

Tujadili.

unajua opposite side huwa zinakuwa attracted na likely side huwa zina repell mkuu..
 
^^
Fuatilia vizuri utakubaliana na mimi,,pili si kwamba hawakutani watu wa aina hiyo ila wanakutana kwa mivuto mikali na uhusiano wao kuchuja upesi..siku zote nasema uhusiano wenye mivutano ya hapa na pale inayotatulika unadumu sana kuliko ule ambao wakati wote mnapatana kwa kila kitu.
^^
Sasa mkuu unamaanisha ni Mungu pekee awezae kuwasaidia katk hili?????Shida yangu ni hawa vijana wanaolia kila kukicha tutawasaidiaje.
 
Unajua kulia lia jukwaani ni kupunguza maumivu..ni kusema mazito ambayo yakisemwa yanaleta afya ya hisia na kuyaona mapenzi ktk mwonekano mwepesi.
Naam Mungu atawasaidia japo juhudi binafsi ya mtu mwenyewe inahitajika.
^^
 
Mmmmmh! Hata mimi sijuagi ni kwanini! Mweeeeeeeeee! Unazanigi? Mweeeeee!
 
Hata mi naona ni mtihani sana kupata mwenza mnaendana...inavyokuwa ni kwamba yule unayempenda anapenda kwengine au hana interest na wewe na vice versa na siku zote watu walokuwa na sifa zinazoendana ni shida sana kuwa pamoja..kwasababu the negative attracts the postive...maji ya moto ukichanganya na baridi ndo yanakuwa murua!!!
 
Mmmmmh! Hata mimi sijuagi ni kwanini! Mweeeeeeeeee! Unazanigi? Mweeeeee!

Hapo red...........Burdani
A%20S%2039.gif
A%20S%2039.gif
 
Back
Top Bottom