Situation zingine usiombe zikukute. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Situation zingine usiombe zikukute.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jul 17, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna jamaa mmoja baada ya kuzidiwa na haja kubwa aliamua kuingia kwenye shamba la mahindi la bwana mmoja.Alipofika katikati ya shamba,akaangalia pande zote nane kuu za dunia hakuona mtu yeyote karibu.Hapo ndipo alipochukua uamuzi wa kubonyea chini na kuendelea ku-offload mzigo.Akiwa kati kati ya shughuli,mara akasikia salamu kutoka kwa mwenye shamba akiwa nyuma yake,"Habari za saizi bwana?".Ungekuwa wewe ungefanyaje? [a]Ungejibu salamu. Ungemchunia na kuendelea na shughuli huku kakusimamia nyuma yako. [c]Ungekatiza shughuli na kuondoka zako.
   
 2. N

  Nyukibaby Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teeh! Teeh! Sorry nimekosea road!
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya nenda mzingani.
   
 4. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hyo inaitwa usithubutu kukutwa.! haahaahaa
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ningejibu namba ya mtu unaojaribu kuongea nae imechakachaluwi kwa sasa tafadhal jaribu badae, then ningeaza kujifanya kama chiz aliepandwa na malaria...
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahaha
   
 7. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ningejibu salama halafu nikaendelea kushusha mzigo
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mh!huwezi kuwa kauzu kihivyo!
   
 9. k

  katawa JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  ningedai malipo ya kumletea mbolea shambani kwake
   
 10. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  jaguar mie kauzu ucpime.
   
 11. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Aaah wapi,jina lenyewe tu haliendani na ukauzu.
   
 12. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  jina...jina ki2 gani jaguar ingia kwenye hamsini zangu ndo utajua ukauzu wngu uko wapi..kwenye jina au vitendo.
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0


  Hizo pande nane za dunia ni za tangia lini maana mimi nazijua nne tu
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na ukithubutu kukutwa utalipiwa!
   
 15. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mh!anyway nilimaanisha>NORTH,SOUTH,EAST,WEST,NORTH EAST,NORTH WEST,SOUTH EAST and SOUTH WEST.
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Du!
  Namwambia "shikamoo
  Naweka hii kitu, baada ya muda itakuwa dhahabu...."
   
 17. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh eeeh hapo ningenywea na kuwa mdogo ka piriton, ila mwenye shamba nae bandidu kha, angejifanya hajakuona mpaka umalize ndio akutokezee.
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Aaaaah,maswali gani sasa haya tunaulizana.??
   
 19. L

  Lekausia Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ptuuu ah sili tena mpaka kesho
   
 20. driller

  driller JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hapo kudadeki adrenalin ndiyo itakayo amua nini kifanyike... ila mwana hii kali hapa unaweza ukajikuta umepaa bila mbawa
   
Loading...