Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,888
Katika jambo la kushangaza pamoja na kukubali kuhojiwa miss tanzania mstaafu kagoma kutaja miaka yake
hata alipoonyeshwa id yake na cheti chakuzaliwa miaka tofauti alisisitiza sitaki kujadili hayo
nahapo ndipo matusi kwenye msg zilianza kupita mbeleya tv
achaneni nae huyo bibi
nk
ameomba asiulizwe tena akitakiwakuja eatv
chapter clsd