Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Huyu inabidi kutumia Carbon 14 kujua umri wake
Hahahahahahaaaaaa
Huyu inabidi kutumia Carbon 14 kujua umri wake
Zaidi ya Ku bore na anavopenda umaarufu kwa nguvu sasa watu walisubiria kwa hamu sana. Bora alivuliwa tu hilo taji.
labda anamsimamia
hata hiyo foundation aliyoanzisha itakua kwa ajiri ya kuiba hela tu , sababu hakutakuwa na ukweli wwte kama kashindwa kutaja umri je akipewa pesa na wafadhiri atazifikisha kwa walengwa??