concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
Astaghafirullah, akutukanae hakuchagulii tusi.
Mama'ko angekuwa hajaacha nje vyombo vyake ungezaliwa wewe?
sikujua ili mtu azaliwe lazima mtu atembee mtaani nusu uchi
Astaghafirullah, akutukanae hakuchagulii tusi.
Mama'ko angekuwa hajaacha nje vyombo vyake ungezaliwa wewe?
F.F tafadhali!fanya jawabu sitara vipi wachokozeka kirahisi?Astaghafirullah, akutukanae hakuchagulii tusi.
Mama'ko angekuwa hajaacha nje vyombo vyake ungezaliwa wewe?
Taasisi za serikali kama RITA na NIDA zinatakiwa ziendeshwe na watu wazalendo, werevu, wenye weledi na waadilifu katika majukumu yake.
Hawatakiwi watu wanaofanya mambo kwa mtindo wa bora liende (business as usual) kutokana na umuhimu wake kwa taifa.
Ukifanya utafiti kidogo tu utaona uwepo wa watu ambao wana vyeti, vitambulisho kutoka taasisi hizo vyenye taarifa ambazo siyo sahihi na hata wengine siyo raia wa Tanzania!
Hali hii haikubaliki na haitakiwi iendelee.
Unazeeka vibaya,,, sababu ya kufoji Ni kupata cheti chenye umri unaoendana na sifa za kushiriki miss Tanzania, hivyo ikabidi wa-adjust miaka miwili. Sasa inakula kwake, mtoto WA kiislam na kuacha mapaja nje wapi na wapi? Au na wewe uliacha Sana vyombo nje enzi zako!
Ni Taasisi zipi ambazo hazitakiwi kuendeshwa na wazalendo?
Umemjibu vizuri FaizaFoxy ila haujamtendea haki kwenye hayo maneno niliyowekea rangi nyekundu
sikujua ili mtu azaliwe lazima mtu atembee mtaani nusu uchi
Wacha uongo, hunijui sikujui.
Huyu bibi ni mtani wangu kitambo humu ashanpigisha ban kama nane hivi,,, hata anaporudi bongo akihitaji ile kitoweo yetu ile huwa ananitafuta FaizaFoxy
Sasa hata kama aliacha vyombo nje si ni kwa huyo tu aliyekuwa akila tunda na ilikuwa ndani chumbani na si hadharani... ebo!Astaghafirullah, akutukanae hakuchagulii tusi.
Mama'ko angekuwa hajaacha nje vyombo vyake ungezaliwa wewe?
CCM, TANAPA, Polisi, mahakama, takukuruNi Taasisi zipi ambazo hazitakiwi kuendeshwa na wazalendo?