Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Sita ni mmoja kati ya wapumbavu niliowahi kuwasikia katika nchi hii!
Kwani Warioba ni Mhutu? Unaposema awaachie watanzania waamue yeye sio mtanzania? Kama mtanzania ana haki ya kuikubali au kuikataa. Sasa mtu kama Six anavyosema wengi wanaikubali, waliofanya fujo walikuwa wengi? Huyo ni Waziri na mtu anayefikiria kuwa raisi?. Pytuuu!!!Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na7 Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi
kwani warioba ni mhutu? Unaposema awaachie watanzania waamue yeye sio mtanzania? Kama mtanzania ana haki ya kuikubali au kuikataa. Sasa mtu kama six anavyosema wengi wanaikubali, waliofanya fujo walikuwa wengi? Huyo ni waziri na mtu anayefikiria kuwa raisi?. Pytuuu!!!
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.
Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.
Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.
Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
Aha, kama j.k alivyowaachia wananchi waamue sio? Mtavuna mlicho na mnachopanda definitely only time will tell
Cha kufanya hapa, ni jino kwa jino. Kama red bridged wapo, wafanye hiyo kazi. Naamini kama Makonda jana angekuwa Musoma, kilikuwa kifo chake. Kule hawataki upumbavu kabisa. Daa wajinga na wapumbavu ni wengi, wanakalia maneno tu vitendo hakuna, sijui kwanini, shit!