Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani inaonekana wanaolewa sio kwa mapenzi ila ni ili wale wanaowaoa wapate haki ya kumiliki ardhi hapa nchini.Hii ni kutokana na uhaba wa ardhi kwenye nchi zao.Amesema ndoa hizo huwa haziduma kwahiyo lengo la waowaji inaonekana ni kupata ardhi kupitia mgongo wa ndoa na wanawake wa kitanzania.

Six ni janga jingine la kitaifa..This fellah is naive!! Yaani anataka kutuambia wadada wetu wakatae kuolewa to serve the government's ass!!
They should go further on this, have the proper policies to combat such a scenario!! Wanasiasa wameamua kulaza vichwa vyao, wanataka kulala usingizi wa pono!!!!
My foot...
..kwani ukioa Mtanzania uraia unakuja na cheti cha ndoa??
..waziri apendekeze mabadiliko ya sheria ambapo mtu akioa/kuolewa na Mtanzania basi imchukue miaka 10 mpaka 15 kupata uraia.
..katika kipindi chote cha mpito asiruhusiwe kumiliki ardhi, ila kupitia kwa mkewe/mumewe. zaidi ardhi isiwe mali inayoweza kugawanyika ikiwa wahusika watatalikiana. Yaani kama umeoa/kuolewa na Mtanzania mkiachana ardhi inabaki kwa Mtanzania.
..sasa mtu akivumilia miaka yote hiyo, basi huyo kwa kweli anastahili ardhi yetu.

Six ni janga jingine la kitaifa..
ni bora hawa wanawake waoane na majirani zetu kwani hata sasa hiyo ardhi wanaoifaidi ni jamii ya akina "sitta". sasa si bora wanawake watapata wanaume kwa gharama ya ardhi kuliko sasa hawaolewi na ardhi hawanaWazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani inaonekana wanaolewa sio kwa mapenzi ila ni ili wale wanaowaoa wapate haki ya kumiliki ardhi hapa nchini. Hii ni kutokana na uhaba wa ardhi kwenye nchi zao. Amesema ndoa hizo huwa haziduma kwahiyo lengo la waowaji inaonekana ni kupata ardhi kupitia mgongo wa ndoa na wanawake wa kitanzania. Na mbaya zaidi hio ndoa ikivunjika huyu mgeni ndio hubaki na hio ardhi.