Sitta sasa amekuwa dikteta bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta sasa amekuwa dikteta bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Feb 6, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,567
  Trophy Points: 280
  Sitta’s NO to issues under probe

  2009-02-05 11:00:19
  By Lusekelo Philemon, Dodoma​

  National Assembly Speaker Samwel Sitta yesterday barred Members of Parliament from discussing issues related to the Radar purchase and National Identity Cards project scandals.

  Sitta announced the decision after Ole MP, Bakar Shamis Faki posed a supplementary question to the Finance and Economic Affairs deputy minister Jeremiah Sumari, on whether the implementation of the two projects followed the Public Procurement Act procedures.

  The Speaker stood up and told the house that the two issues were under investigation, hence it wouldn`t be fair for the National Assembly to discuss them.

  ``These two issues are under investigation. It is not proper to discuss them here. Let`s leave the responsible organs to work on them,`` he said.

  Responding to the basic question, Sumari said the government was looking into the possibilities of improving the procurement system.

  He also said the government would soon make amendments on the legal issues related to the procurement system so as to give the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) teeth.

  ``This will give PPRA a mandate to punish those who go against the public procurement Act,`` he said.

  Minister Sumari also underscored the need to have e-procurement in government departments, saying the move would improve services offered by PPRA.

  He said presently many government departments were not connected to the e-procurement system, which links them with PPRA as well as business people in the Private Sector.

  In his basic question MP Faki had wanted to know the
  government position on improving procurement system in the country.

  Meanwhile, Sitta said it is strictly prohibited for chairpersons of the Parliamentary committees to reveal issues discussed in the committee chambers to the press.

  He issued the directive after the question and answer session yesterday, saying there was a growing tendency for leaders and members of those committees to reveal details of the discussed issues to media practitioners.

  Sitta said the move preempts the National Assembly as the issues were supposed to be first tabled in Parliament before being made public.

  ``There are some MPs who have a tendency of briefing media people on what transpired in their chambers. This is contrary to parliamentary standing orders. I ask them to stop doing so,`` he said.

  His statement comes at a time when Home Affairs Minister Lawrence Masha is meeting the Parliamentary Committee on Defense and Foreign Affairs, over the multi-billion shilling national ID cards project.

  Media was not allowed into the committee meeting hearing the controversy surrounding the USD 152m national identity cards project.

  Last week, Prime Minister Mizengo Pinda confirmed that he was aware of the controversy.

  He however called for patience on the part of MPs while the project`s tender process continues.

  According to Pinda, one major weakness in the tendering process was the unexplained loss of documents from folio number 47 at the Ministry of Home Affairs, which contains important information on the project.

  This, he said, had resulted in much of the information being leaked.

  Reliable sources have intimated that differences have recently come to the fore between Masha and State House Chief Secretary Philemon Luhanjo over the way the tender process is being handled.

  Initially, the home affairs ministerial tender board had sought to float a restricted tender, but the government ordered the tender process to be made public to avoid loopholes for corruption and other wrongdoings.

  It has now come to light that Masha last year complained formally to premier Pinda that Chief Secretary Luhanjo instructed the permanent secretary in the home affairs ministry to report directly to the Cabinet on the implementation of the tender process, without informing him (Masha) as minister.

  It is understood that the minister`s argument was that he would be the one forced to shoulder political responsibility should anything go wrong within the ministry.

  The chief secretary, who operates from State House, is secretary to the Cabinet and responsible for ensuring that all important government decisions are implemented.

  According to our sources, Masha also told Pinda that he had received complaints from one of the bidders for the tender, Sagem Securite, and summoned the home affairs PS to Dodoma last November for discussions on the matter.

  A total of 54 companies initially submitted bids for the tender to supply the ID cards.A special government evaluation committee then picked 21 of the bidders for the pre-qualification stage.

  Out of these, 16 bidders were found to be `substantially responsive,` while five bidders were given `conditional pre-qualification.`

  The tender board later came up with a shortlist of eight companies, excluding Sagem Securite, out of those recommended by the evaluation committee.

  SOURCE: Guardian
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,224
  Trophy Points: 280
  Mhe. Sita sio kweli kwa sasa ndio amekuwa dikteta, bali alishakuwa dikteta tangu kitambo. Kama utafuatilia kwa karibu, issue zozote anazoziona zitaiweka serikali mashakani, anatumia mabavu kuzizima. Ile hoja ya Mhe. Zitto iliyopelekea kufungiwa kuhudhuria vikao. Kuzimwa kwa hoja binafsi ya Dr. Silaha kuhusu mafisadi. Hata ripoti ya Richmond, alimdokeza EL ili aweze kujisafisha, EL akainyamazia ndipo akaitumia kama nyundo kummalizia na kuyaziua majibu ya 'King Maker'
  Spika Sitta huwa anatake sides kwenye issue za maslahi binafsi,
  Kwenye hoja ya Mh. Malima kuhusu Mengi kujikweza kwenye TV yake, Spika aliegemea zaidi kujikomba komba kwa Mengi na kuwaita ofisini kwake kuwasuluhisa, Malima aligoma. Akatoa azamio la kumtaka Malima aombe radhi kwa madai ya kuliambia Bunge uwongo, pia Malima aligoma. Malima ni Mh. Mbunge wa kuchaguliwa na kura za wananchi. Hii ni dhamana kwa jamii. Mengi ni tajira mwenye jeuri ya pesa. Spika anajinyenyekeza kwenye jeuri ya pesa at the expense ya wapiga kura wa Malima.
  Baadhi ya maamuzi ya Spika hayana hata logic, ni udikteta mtupu. Aliwahi kumtoa nje Mhe Chifupa (RIP) kisa eti kavaa suti na kofia bila gloves!. Bunge letu ni la Westminster, kanuni ya gloves ni ya ulaya kutokana na winter. Hiyo ilihitaji simple logic lakini spika Six hilo halioni mpaka Amina akatolewa!.
  Angalau udikteta wa Anna Makinda unaendana na logic, wa
  six ni mabavu kwa kwenda mbele.

  Namalizia kwa hoja ya pamoja na udikteta wote wa Spika Six, pia anayo mazuri yake ya uendeshaji wa Bunge ukimlinganisha na mtangulizi wake Msekwa. Afadhali ya Sita mara mia, as of now, Spika Sitta is the best speaker, Tanzania had ever have, labda huko mbele waje watokee wengine.

  Pasco
   
 3. N

  NTIRU Member

  #3
  Feb 9, 2009
  Joined: Sep 20, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhe. Sita angeweza kuwa Spika mzuri sana kama asingekuwa na kofia ya uongozi katika CCM. Wakati mwingine analazimika kuwa dikteta Bungeni ili kulinda maslahi ya chama chake kilichobobea kwa ufisadi. Wakati mwingine anaonyesha waziwazi kukerwa na ufisadi ndani ya chama chake lakini anakosa la kufanya kwa vile anaogopa kupoteza wadhifa wake wa Uspika, Ubunge, U-NEC, Ulezi wa CCM Mkoani Singida n.k. Hapo ndipo ujasiri wa kusimamia haki unapomshinda. Si unajua tena unafiki ulivyoota mizizi ndani ya viongozi wa CCM.!!! Hata hivyo, nakubaliana na Pasco kuwa Sita ni bora kuliko Msekwa.
   
 4. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #4
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  inawezekana yote ya kweli lakini this time the guy was right, si busara kabisa kuongelea issues ambazo ziko kwenye upelelezi
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,147
  Likes Received: 5,573
  Trophy Points: 280
  Puinguani kama huyu ataondoka lini bungeni jamani???kwanza anakimbilia pale kwenye masilahi binafsi tu!!!
  St&***d kuwa na maspika wa dizaini hii wabunge watakuwaje???
   
 6. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  yaani standard & speed?..... job true true. si wanasema no hurry in africa au imeeksipaya?

  Usishibe ukasahau dhiki zako.
   
 7. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2009
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ..i second you brother
   
 8. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2009
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  ...lakini si Chifupa alikuwa amekiuka kanuni ya bunge,kipengele cha mavazi? Na pia kwenye hili kuna wabunge ambao walimchomea Chifupa
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,224
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, lengo la ile kanuni ni vazi la kizungu wakati wa winter. It only needed common sense to realize that. Hata wale watawala madikteta, walitumia taratibu, sheria na kanuni kutimiza azma yao.
   
 10. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sitta juu!! mafisadi na washabiki wao chini.
   
 11. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180

  Kumbe mnamuonea bure Ndugai.
   
 12. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,297
  Likes Received: 7,852
  Trophy Points: 280
  Paskali kumbe hili jambo la kuitana madikteta ni porojo tu kwani siku hizi nawasiki Chadema wakisema ''Viatu vya Sitta ni vikubwa kwa Ndugai''
   
 13. S

  Siyabonga101 JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2017
  Joined: Mar 8, 2016
  Messages: 2,437
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Chadema ya sasa ni genge la Wahuni mkuu. Muda na Nyuzi kama hizi zitawaumbua hadharani.
  Huyu mzandiki mleta hii mada juzi juzi tu hapa alimsifia Mh. Sitta (RIP) ya kwamba alikuwa Spika bora wa JMT. Kumbe huko nyuma aliwahi kuleta upupu kama huu. Sitoshangaa kesho akamsifia Mh. J. Ndugaii kwa weledi uliotukuka.
   
 14. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 14,396
  Likes Received: 21,347
  Trophy Points: 280
  Mie hizi Thread zikiwa zinafukuliwa huwa nafarijika sana!
   
 15. m

  mdaharunga JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2017
  Joined: Sep 25, 2014
  Messages: 362
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 80
  Aisee, tunaumbuana jama!
   
 16. M

  Matangwa Senior Member

  #16
  Sep 30, 2017
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 168
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  mchambuzi Paskali mayalla anaweza kutuambia ni vigezo gani huwa unatumia kusema mambo makubwa bila kutizama vizr historia.
   
 17. M

  MADOTTO Member

  #17
  Sep 30, 2017
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 40
  Uzuri wa maandishi hayafi.
   
 18. alexelias

  alexelias JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2017
  Joined: Sep 1, 2017
  Messages: 985
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 180
  Wapinzani wa nchi hii ni sawa na tunda aina ya KOMAMANGA.
   
 19. S

  Siyabonga101 JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2017
  Joined: Mar 8, 2016
  Messages: 2,437
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Tena ni kumbukumbu nzuri sana. Maana siku hizi kuna watu hata Sauti zao kwenye "voicenotes" huwa wanazikataa na kusema zimetengenezwa. Ila maandishi ni mwisho wa Unafiki na Uzandiki.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2017
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  hahahahaha kama namuona BAK anavyo tamani uzi ufutwe hahaha
   
Loading...