Sitta sasa amekuwa dikteta bungeni

Paskali kumbe hili jambo la kuitana madikteta ni porojo tu kwani siku hizi nawasiki Chadema wakisema ''Viatu vya Sitta ni vikubwa kwa Ndugai''
Mkuu Mhe. Wakudada, hakuna kitu kizuri kama ukweli toka ndani ya nafsi yako kuhusu uwezo wa Mh
 
Unajua mie najitambua wewe juh.a! Huwa sikurupuki ninapoandika humu. Hebu tuwekee ushahidi wa kuthibitisha kauli yako kwamba mie nimewahi kumsifia huyo Sitta alikuwa bora JMT.

Na kwa akili yako finyu kuwapinga wahuni na mafisadi wa chama cha wauaji wanaoingamiza nchi si uzandiki wewe juha. Kajifunze maana ya neno uzandiki vinginevyo hata Nyerere, Butiku, Warioba na wengine ndani ya CCM utawaita wazandiki kwa kumpinga huyo dhalimu mwenye roho mbaya kuliko hata shetani.

Chadema ya sasa ni genge la Wahuni mkuu. Muda na Nyuzi kama hizi zitawaumbua hadharani.
Huyu mzandiki mleta hii mada juzi juzi tu hapa alimsifia Mh. Sitta (RIP) ya kwamba alikuwa Spika bora wa JMT. Kumbe huko nyuma aliwahi kuleta upupu kama huu. Sitoshangaa kesho akamsifia Mh. J. Ndugaii kwa weledi uliotukuka.
 
Ukweli lazima usemwe.

Ndugai hafui dafu kwa Sitta, japo pia Sitta alikuwa na mapungufu yake.

Kwa Ndugai ni too much kuzidi kiwango maana kakubali muhimili wake kuweka kabatini kule Magogoni
 
Unajua mie najitambua wewe juh.a! Huwa sikurupuki ninapoandika humu. Hebu tuwekee ushahidi wa kuthibitisha kauli yako kwamba mie nimewahi kumsifia huyo Sitta alikuwa bora JMT.

Na kwa akili yako finyu kuwapinga wahuni na mafisadi wa chama cha wauaji wanaoingamiza nchi si uzandiki wewe ****. Kajifunze maana ya neno uzandiki vinginevyo hata Nyerere, Butiku, Warioba na wengine ndani ya CCM utawaita wazandiki kwa kumpinga huyo dhalimu mwenye roho mbaya kuliko hata shetani.
Huna lolote mzandiki wewe uliyejaa pepo la chuki na roho mbaya. Angalia matusi yanavyokutoka utafikiri gari la kunyonya Maji taka.
Pathetic Swine!
 
siyabonga 101, huyu mleta mada ni lazima atakuwa zuzu. Watu kama hawa ni kuwapiga makonzi ya nguvu kwenye utosi mpaka akili zinakaa sawa. Huyu jamaa ni bonge la mnafiki, bonge la zuzu. Nakumbuka wakati Ndugai amechaguliwa kuwa Spika, huyu mleta mada ni mmoja kati ya wale walioshangilia kuwa Ndugai ni mtu sahihi wakati huo huo wakiendelea kumshambulia Makinda kwa matusi na kejeli. Kwenye uzi huo ambao ulikuwa unamuhusu Ndugai, nakumbuka nilim-quote huyu mnafiki nikamwambia; leo unamtukana Anne Makinda, unamshangilia Ndugai. Kesho usije kutuambia bora Makinda kuliko Ndugai... Nilimkanya na kweli yametokea, acha Ndugai awanyooshe.
 
Nashukuru sana mkuu kwa kuwa uliyaona hayo mapema. Leo hii anakana na kuyakataa maandishi yake mbele ya kadamnasi. Nafikiri ni ZUZU tena wa Kimataifa. Ukimueleza ukweli na kumkumbusha aliyowahi kuandika huko nyuma, sukari inampanda na kuanza kuporomosha matusi na kejeli.

Watu wa aina hii ni hatari sana katika jamii. Tuwavumbue na kuwaanika hadharani kwa Unafiki na UZANDIKI wao. Pamoja sana mkuu.
 
Ni mshamba tu ambaye hajui maana ya neno uzandiki anaweza kuandika pumba kama hizi. Swine ni baba yako na mama yako taahira wewe! Hata Warioba, Mwinyi, Butiku na Kinana kwa kumkoromea huyu dhalimu, mwenye chuki za kutisha, mwizi, muongo fisadi nao kwa akili yako finyu wewe wana chuki dhidi ya huyo mnafiki na pia ni wazandiki. Weka ushahidi wa kuonyesha mimi kumsifia Sitta eti ni spika bora kuliko wote, MZUSHI mkubwa wewe!

Kwa akili yako finyu wewe j.uha hawa hapa chini wote wana chuki dhidi ya huyo dhalimu na pia ni wazandiki. Kama hujui Kiswahili wewe mpumbavu uliza maana uambiwe badala ya kurukia maneno usiyoyajua shetani mkubwa wewe. Peleka uj.uha wako mtaa wa lumumba si humu. Kule waliokimbia umande kama wewe wataukubali uzushi wako.

Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

img-20161014-wa0025-jpg.600045

Imechapishwa: Sat, Oct 15th, 2016
Habari Kuu / Kitaifa / Siasa | Na Mtanzania Digital

Butiku: Rais tembo hatufai

Na JONAS MUSHI

DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kutokana na miiko iliyowekwa na mwasisi wa Taifa, Hayati Mwalimu Julias Nyerere, mtu yeyote anayekuwa rais wa nchi lazima atambue watu wote ni sawa na “usiwe wewe ni rais tembo.”

Hayo aliyasema jana wakati akiwasilisha mada ya miiko ya uongozi katika kongamano la kumbukizi ya Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Alisema kwa mujibu wa Katiba ya TANU ya mwaka 1954 imani ya chama ilikuwa binadamu wote ni sawa, kila mtu anastahili heshima na kwamba kila raia ni sehemu ya Taifa.

Alisema nchi ambayo mwalimu aliijenga ilikuwa na misingi ya “binadamu wote ni ndugu zangu” na kwamba msimamo kama huo aliuweka hata alipotoka nje ya mipaka ya Tanzania.

“Tunachosema ni kwamba miiko ilikuwa inasema ukitaka kuwa rais utambue na uwe na imani kuwa watu wote ni sawa usiwe wewe ni tembo,” alisema Butiku na kuongeza:

“Lazima utambue kuwa unatokana nao (watu) na lazima kiongozi huyo atambue kuwa anaongoza watu hivyo anapaswa kuwaongoza kwa heshima.”

Akizungumzia miiko ya uongozi, Butiku alikumbusha hoja ya kutenga siasa na biashara ambayo alisema imeonekana kupuuzwa na viongozi katika miaka ya hivi karibuni.

Alisema miiko ya uongozi ilikuwa ni pamoja na kiongozi lazima awe mkulima au mfanyakazi na asishiriki katika shughuli zozote za ubepari.

Katika hilo aliwataka viongozi kuchagua ama kuwa kuwatumikia watu au kutafuta utajiri.

“Katika siasa za hivi sasa wanasiasa wote wanajitahidi sana kukataa kanuni hii na wamekuwa wakibabaisha. Msibabaishe,” alisisitiza Butiku.

Huna lolote mzandiki wewe uliyejaa pepo la chuki na roho mbaya. Angalia matusi yanavyokutoka utafikiri gari la kunyonya Maji taka.
Pathetic Swine!
 
Attachments

  • IMG-20161014-WA0025.jpg
    IMG-20161014-WA0025.jpg
    32.4 KB · Views: 41

Pathetic swine!
 
Back
Top Bottom