Sitta Rais, Dr Slaa Waziri Mkuu, 2015

vipi kuhusu kuyumbayumba kwake,mbona hugusii hilo?vipi u-ccj wake.pole kama bado unaona kiongozi bora ndani ya ccm.
 
Maarifa ya Sitta kwenye siasa ni makubwa ukilinganisha na ya Dr. slaa
Ndio maana nchi haiendelei, tumekuwa tukiongozwa na watu wenye ubingwa wa kupiga siasa


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sita Mpiganaji mwenye silaha za plastiki hahaha, hawezi vita huyo jamaa
 
labda kama ni uspika wa bunge ndio anamzidi dr slaa
 
Dr Slaa hakuwahi kuwaza urais kipindi hicho hadi aliposhtukizwa akiwa tayari amechukua fomu za ubunge.
Sasa mtoa mada mtu ambae alikuwa hata wazo hana atatoa wapi wazo la kumuachia Sitta?

Dr Slaa hana tamaa
 
Wadau,
Sitta ni nguli wa siasa na yuko vizuri sana. Dr. Slaa analijua hili.
Alitamani sana kumpa Sitta nafasi yake 2010...

Kwa hiyo wewe uko kwenye kambi ya Sitta..

Tunawasubiri wa kambi ya Mende..

Kambi ya Lowassa yuko Pasco.. Anawakilisha..

Mtauana decade hii..
 
Last edited by a moderator:
Wadau,
Sitta ni nguli wa siasa na yuko vizuri sana. Dr. Slaa analijua hili.
Alitamani sana kumpa Sitta nafasi yake 2010...

Hilo halina ubishi, anajua fitina za kulipa kisasi kama alivyomfanyia mtimanyongo LOWASSA na kumng'oa - na baadaye kusema hakutegemea kama jamaa angejiuzulu!..

Ni shujaa wa kuzima hoja zenye maslahi kwa TAIFA, ishu ya RICHMOND na DOWANS yanaendelea kulitesa taifa kwasababu yake.

Kwa sura mimi sijui kama ni handsamu, maana naona dalili ya kung'ata ndimu vile?
 
Dr Slaa hakuwahi kuwaza urais kipindi hicho hadi aliposhtukizwa akiwa tayari amechukua fomu za ubunge.
Sasa mtoa mada mtu ambae alikuwa hata wazo hana atatoa wapi wazo la kumuachia Sitta?

Dr Slaa hana tamaa

Dr. Slaa anajua mengi sana juu ya uhodari wa Sitta! alitamani sana awe Spika kwa tiketi ya CDM..
 
Alicharazwa bakora na nyerere baada ya kuongoza mgomo udsm. Huyu jamaa hatari.
 
inaonesha mna watu eeh hiyo ni dekrasia?? kwa mtu anaejali demokrasia hawezi kupredict wazi namna hiyo vp kuhusu ZZK??
 
mtu mnafiki kama sitta hawezi kugombea urais kwa tiketi ya ccm
 

huyo kilango labda awe waziri wa tangawizi hafiti kwenye timu ya jk atafit kwenye timu ya kocha makini?
 
Jamani jadilini mambo haya vizuri kwa mustakabali mwema wa Taifa letu, ama la! 2015 mtachagua mtu kwa imani ya dini yake!! EEH MANANI TUEPUSHE WA-TZ NA UDINI HUU.
 
Mimi binafsi nawakubali wote wawili -- Sitta na Slaa. Yeyote kati yao akiwa Rais nina uhakika Tanzania itakuwa tofauti kabisa. Hawa watalinda raslimali za nchi yetu kwa manufaa ya Watanzania wote. Watakata mirija yote ya unyonyaji.

Sitta ni mnafiki, alipokuwa Spika tu alijitwalia ufalme wa kuzipa nyumba zake ndogo magari ya bunge na kukomadia nyumba ya bei mbaya kule Masaki; je akiwa Rais si ndio atafanya vituko!!! Dr. Slaa pekee anafaa.
 
chachu kidogo uchachua donge zima, hapo umechemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…