Sitta ni sehemu ya kanuni za Bunge!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,969
5,913
Hivi mafisadi waliliona hili kuwa bado maamuzi ya Sitta pale kanuni zikibaki bubu zitatumiwa na anayemfuatia?


2
-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba, Kanuni hizi zitatumika kwa
mambo yote yanayohusu utaratibu wa uendeshaji wa Shughuli za
Bunge.
(2) Iwapo jambo au shughuli yoyote haikuwekewa masharti katika
Kanuni hizi, Spika ataamua utaratibu wa kufuata katika jambo au
shughuli hiyo, kwa kuzingatia Katiba, Sheria nyingine za nchi, Kanuni
nyingine zilizopo, maamuzi ya awali ya Maspika wa Bunge pamoja
na mila na desturi za uendeshaji bora wa Shughuli za Bunge na
uamuzi huo utaingizwa katika Kitabu cha Maamuzi ili kuongoza
mwenendo wa baadaye wa uendeshaji wa Shughuli za Bunge.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom