Mkuu, pia 6 toa 3 unabaki na 3.pia juma 3, lilianza saa 3, walikataa serkal 3, petro alimkana yesu mara 3, yuda akamsaliti yesu kwa vipande 30…!!!!! Huenda ikawa historia kuandikwa Tz…………!!
Mkuu pia yupo njemba mmoja kazikataa zote na pakawa kimya kama dakika moja hivi wakiomboleza.upigaji kura wa ajabu - una coercion - makofi kwa wanaosema NDIYO maana yake ni nini. Bibie kakataa hajapigiwa makofi watu wamelowa
Pia rasimu zipo 3 za warioba 2 na ya sita & co 1pia juma 3, lilianza saa 3, walikataa serkal 3, petro alimkana yesu mara 3, yuda akamsaliti yesu kwa vipande 30 !!!!! Huenda ikawa historia kuandikwa Tz !!
Wapendwa bunge limeahirishwa yapata saa 6 mchana na litarejea saa 9 alasiri
kwa wasomaji wa biblia ndo muda Yesu aliosulubiwa na kukata roho hii inatupa tafsiri gani kwa Mzee Sita na bunge la katiba?
naomba uchambuzi pls
Wabheja mkuu.hahahaaaa pokea like yangu
pia juma 3, lilianza saa 3, walikataa serkal 3, petro alimkana yesu mara 3, yuda akamsaliti yesu kwa vipande 30…!!!!! Huenda ikawa historia kuandikwa Tz…………!!
Mkuu, pia 6 toa 3 unabaki na 3.