Kama cc imemtupa chini sita, inamuogopa kitu gani mpaka wampe uwaziri? unasema atapewa uwaziri ili apigwe chini? hata akipewa uwaziri na asipojiuzulu, je atapitishwa na CC hiyo mwaka 2015 kugombea urais?
habari yako inawezekana ni ya kweli ila haijakaa sawa ina maswali mengi sana ya ki-logic ambayo yanaweza kupingana.
kama cc haimuogopo sita, why bother uwaziri, apigwe chini n.k the question is WHY? sita hata asipopewa uawaziri leo who will dare to question?
by they way WHO IS SAMWEL SITA MNAYEMPAMBA PAMBA HUMU, HE is fisadi kama fisadi wengine ndani ya CCM if is clean enough let him aondoke ccm, kwani kuna urafiki gani kati ya nuru na giza??
open your eyes, EL,RA, SITA, JK,.......name it...... are all fisadis.