Huwezi kupambana na wezi walioko ndani ya chama chako!!
Huu ni usanii waTZ wanataka kuonyeshwa ili imani yao na chama isipotee...
Pambana na adui ukiwa upande wake wa pili!!!
Sawa sawa FUSO kumbe jamaa umemuelewa, anatafuta popularity hanalolote huyo aonyeshe atachukua hatua gani sasa kuzuia hayo malipo!!!!! Jmaa wamechungulia mrahaba wa Buzwagi na Geita Gold Mine USD $ 65,000,000/= wanataka wachukue hizo, maskini Tanzania niipendayo!!!!!!!!!CCM imewapiga stop yeye na members wenzake wa CCJ kwenda igunga sasa anaona aongee ya Dowans ili tumkumbuke, ametoa kauli nzito sana ila jamaa ni mwoga, anapenda kufoka akiwa chini ya meza.

Huyu Sitta hata mie siumuelewi! haiwezekani Ngo'mbe akalala katikati ya Simba! hata kama simba hao wameshiba lazima watamlamba hata nywele! Hao wote wamoja tu! Hakuna mkweli yuko mpaka sasa CCM tena na Madaraka makubwa! Ajitoe huko then atueleze ukweli tutamuelewa Zaidi!