Masantula2012
Member
- Apr 2, 2012
- 19
- 3
Hollaaaaaaaaaaaaaaaaa, "Wazee hawatakiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Tangu 70's mtu yuko kwenye uongozi wa serikali!!??????? Aibuuuuuuuuuuu.
Huna kazi wewe? Unajadili uraisi mambo ya 2015, umetumwa?
Asante kwa kutujulisha kuwa huyu naye anautaka urais. Nikupe angalizo: Watanzania leo tunajua tunachokihitaji. sasa huivi tupo busy tukiwapima wale wanaonyesha nia ya kuutaka Urais. Itakapofika wakati, tunaomba mtupe nafasi ya kuamua nani anatufaa kuwa rais wetu na wala msituletee mizengwe baada ya kuamuaCCM isifanye makosa kuleta siasa za makundi katika kumpitisha mgombea URAIS mwaka 2015,mtu mwenye uwezo kwa sasa ni Mh.SITTA ambaye ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mpambambanaji mbele ya mafisadi wenye vijisenti.
Rai yangu kwake asifikirie kufanya VISASI katika uongozi wake bali asimamie utawala BORA kwa kuwawajibisha mafisadi wote na kujenga misingi bora ya UTAWALA ili kuinua UCHUMI wa NCHI yetu.
Mafisadi watubu na kurejesha mali zao kwa hiari yao kabla ya kiama chao,kwa sasa hawana uwezo wakuwadanganya Watanzania ili wachaguliwe hata kama watagawa 100,000/= kwa kila mtu.....tumewagundua janja yao na sasa hawatuwezi tena ...PESA wakitoa tunapokea lakini hawatachaguliwa kamwe !
CCM isifanye makosa kuleta siasa za makundi katika kumpitisha mgombea URAIS mwaka 2015,mtu mwenye uwezo kwa sasa ni Mh.SITTA ambaye ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mpambambanaji mbele ya mafisadi wenye vijisenti.