Sitta atoboa siri ya CCJ

Sitta atoboa siri ya CCJ

mwanakijiji ni kama mtoto wa mkulima!, nawashauri wabadilishe hayo majina yasiyoendana na ukweli!
@foxy fanya mawasiliano na msajili wa vyama atakupa majibu sahihi zaidi!, umuulize pia kuhusu CCK!

Jee mpiga debe na au mwanzilishi si yupo karibu? ya nini niende mbali kote huko? huoni kuwa ushauri wako hauna mantiki?
 
nimekujibu hivyo kwa sababu najua kama umejua hizo linki unajua kisa kizima cha CCJ kupitia JF ila tu hukuamini (au ni uchokozi kwa mwanakijiji), CCJ ilijadiliwa sana hapa!

Sasa kama huoni mantiki kuwasiliana na msajili wa vyama basi wasiliana na mwenyekiti au katibu wa iliyokua ccj. Kama hutaki na unataka majibu kutoka kwa mwanakijiji tu basi mtumie PM!
 
"Najua, kama umejua, unajua" inahusu nini? umemrithi Yahya Huseni?

Hii inaonesha nyuzi imekutachi au ni mmoja wa waanzilishi au ulikuwa mfadhili ukapoteza mtaji? Unanini weyee? kama unaweza kujibu kny jibu kama huwezi ambaa, naona unalazimisha jibu moja katika mawili niliyouliza. Vipi, imekutachi pazuri?
 
FF naomba tuanzishe mchakato wa kuirejesha NRA ya Kighoma Malima (RIP), unasemaje?
 
Kuwa mwaanzilishi haina maana kuwa huwezi kukiasi chama..wako wapi akina Mabere Marando, Dr Alec Chemponda, Shibuda???
 
FF naomba tuanzishe mchakato wa kuirejesha NRA ya Kighoma Malima (RIP), unasemaje?

Wala hunipati, anzisha wewe unangoja nini? unadhani ni rahisi? muulize Mwana kijiji! Unanchekesha! Nyerere mwenyewe alikuta vyama vishaanzishwa unafikiri alianzisha yeye?
 
Itakuwa vizuri Mzee Mwanakijiji atueleze ile michango yetu alikuwa anahamasisha kuchangia CCJ, kupitia simu ya mkononi, ili kujiunga ulitakiwa utoe shilingi 500 kwa kila mwanachama, baada ya chama kufa vipi ile michango yetu!
 
Mie Mweche Jamani bee!
Naona CCJ inashika Kasi na imebaki mioyoni wa Waasisi wakuu!
Si umeona walivyoishambulia CCM na Serikali yake kule Mbeya!
 
nimekujibu hivyo kwa sababu najua kama umejua hizo linki unajua kisa kizima cha CCJ kupitia JF ila tu hukuamini (au ni uchokozi kwa mwanakijiji), CCJ ilijadiliwa sana hapa!Sasa kama huoni mantiki kuwasiliana na msajili wa vyama basi wasiliana na mwenyekiti au katibu wa iliyokua ccj. Kama hutaki na unataka majibu kutoka kwa mwanakijiji tu basi mtumie PM!
Kwa nini asimuulize Nape?
 
Duhh, kumbe watu walishatoa na michango kwa kuhamasishwa na Mzee Mwanakijiji?
 
Itakuwa vizuri Mzee Mwanakijiji atueleze ile michango yetu alikuwa anahamasisha kuchangia CCJ, kupitia simu ya mkononi, ili kujiunga ulitakiwa utoe shilingi 500 kwa kila mwanachama, baada ya chama kufa vipi ile michango yetu!
Nape na Samuel Sitta wanasema hizo pesa walikodishia ofisi
 
Mzee Mwanakijiji njoo umwage mchele hapa maana pumba zako tumeshazizoea, sasa ni wakati wako muafaka wa kumwaga mchele japo kwa kutueleza tu uliyoulizwwa humu.
 
Ff naona inakuuma ufadhiri mkubwa uliotoa ccj ndio maana unaleta upupu hapa Jf baba yako napi yuko kujisafisha kwa magamba endeleni kucheza makida makida zenu always the end we tell truth.
 
Jifundishe kiswahili kwanza utatukana bure bilash.
 
Mzee Mwanakijiji njoo umwage mchele hapa maana pumba zako tumeshazizoea, sasa ni wakati wako muafaka wa kumwaga mchele japo kwa kutueleza tu uliyoulizwwa humu.
 
Mzee Mwanakijiji njoo umwage mchele hapa maana pumba zako tumeshazizoea, sasa ni wakati wako muafaka wa kumwaga mchele japo kwa kutueleza tu uliyoulizwa humu.
 
Back
Top Bottom