Sitta atoboa siri ya CCJ

Ungeandika Mungu na sio Mngu! uwe unaanza na herufi Kubwa... Heshima Muhimu

teh teh teh teh uuuuwiii nikijisikia kucheka mimi nakuja Jf tu, stress zote zinakwisha.
 
Tafadhali njoo na evidence. usiropoke kuhusu vyama imara vinavyoongozwa kwa mawazo imara na watu imara.
 
Hiyo green......Lakini pia cyo jukwaa la Kuhariri!!!!
 

kumbe mkuu unakijua kiswahili safi tu! Hongera Mfiyakicheko!
 
nenda jukwa la ruhga

kumgeukia mngu kwani ya kupasa kujitukuza katika jina la mngu wekeza kwa mngu


naikabizi jf mikononi mwako..... sisi ni wenye zambi hatusitahili....

..... siyangu ni yamungu kama mungu hanaadabu misijuwi yabadilishe kwa kialabu utajuwa naamanisha nini
Huyu jamaa ni jinias. Examine closely you will pick a talent in him/her
 
Msipende kuwakosoa wenzenu, mnawachanganya waacheni watujuze yaliyotokea
 
Tafadhali njoo na evidence. usiropoke kuhusu vyama imara vinavyoongozwa kwa mawazo imara na watu imara.[/ viongozi wa juu wa chadema wanalijua hilo ipo siku utajua ukweli huwa sikurupuki mkuu ku post nisichokijua
 
Mshkaji umeandika kisukuma, maana hivyo vishindo!!!!! sijakupata.
Acha uzuzu wako wewe "dazu" hicho ni kisukuma au wewe ndiye k#$a [neno baya] Acha utani wa jumla jumla; heshimu makabila ya watu.
 
Thread imebadilika, yaani badala ya kumjadili 6 watu wanamjadili mufiyakicheko na lugha yake.
Mnaonaje sasa turudi kwenye thread na kujadili siri za CCJ!?
 
Thread imebadilika, yaani badala ya kumjadili 6 watu wanamjadili mufiyakicheko na lugha yake.Mnaonaje sasa turudi kwenye thread na kujadili siri za CCJ!?
tz tumejengeka kupenda hojaa nyepesi mf cdm waliibuwa ufisadi maandamano yalianza nnchi nzima kwakweli tukapazaa sauti. mabomu kulipuka tukasahau ufisadi tumeendaaa babu akaibuka na kikombe hii imemaliza yote tusipo badilika kuidondosha ccm ni ndoto hatuna musimamo ni wa kusahau haraka ukitaka kujuwa anzisha sd ya muzaha uone wa changiaji ni tofauti na yenye hoja nzito
 
Jembe na Nyundo eti maana yake Wakulima na Wafanyakazi, Rostam ni mfanyakazi ama mkulima?
 
Niko zangu maeneo fulani na mtoto mwenyewe weekend hii nakula mavituzii, eti chumba kina kiyoyozi halafu umeme ukakatika si eti ilikula kwangu! namwambia mwenye hoteli anirudishie japo nusu ya gharama kakataa kasema yeye sio tanesco. Kumbe panatakiwa pawe na idara nyingine idara ya Mgao wa Umeme na Meneja apewe Shyangingi lake na nyumba nzuuri kabisa
 
Thread imebadilika, yaani badala ya kumjadili 6 watu wanamjadili mufiyakicheko na lugha yake.
Mnaonaje sasa turudi kwenye thread na kujadili siri za CCJ!?


ah mi nilidhani niko CCM kumbe CCM ndo kile wanasema kina magamba? basi siko CCM mimi
 
kunauwezekano anatoka mwakaleli msimshangae maana watu wa mbeya ndio walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…