The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
haya tena!sijaelewa hapa.sijabahatika kwenda shule ila uliye enda shule inaonekana akili yako haina akili nenda jukwa la ruhga
haya tena!sijaelewa hapa.sijabahatika kwenda shule ila uliye enda shule inaonekana akili yako haina akili nenda jukwa la ruhga
Kweli wewe ni Ngamia Mzee....kama ni wanaume wa shoka waende igunga tuone sasa wanakendambeya kwa makiembe kufanyia nini kuna majimbo yana shida kama arusha ,tarime ,huko mbeya kuna nini kama siyo umbeya wa ccjyao wanaipeleka badala kuongea mambo ya chama ccm ni ccjkikupacho raha na uchungu kitakupa
Hahahah...huyo ndio mufiyakicheko=Mfia Kicheko, na anachoandika ni KISAHIRI na sio KISWAHILI.hahaha,dah yaani mufiyakicheko kwanzia jina hadi unacho andikia sikielewi ni full komedi
ENYI MNAOONEKANA KUWA WASAFI NA KUMBE NDANI WACHAFU mko kama maji safi lakini machungu,ambayo kwa kutazamwa kwa nje yanaonekana safi kabisa lakini yakipimwa hakuna hata tone linalokubaliwa. Naam mwonzi wa jua huangukia sawasawa juu ya vumbi au juu ya kioo lakini hutofautiana katika kurudisha nuru kama nyota inavyotofautiana na duniaHivi haya maneno ameereza,sili,atobowa maana yake nini.Ndugu zangu haya mambo mengine yanakera sana.Mtu uko JF siri unaiita sili.Noma sana.Sili ni neno lenye maana tofauti kabisa.Jitahidini basi msiabishe JF.Watanzania kweli tu viazi kiasi hicho,hapana, siamini.
Sijaenda shule kabisaa mkuu siwezi chukia ila nawachukia mafisadiMufiyakicheko = Mfia Kicheko.Asante Ndg. Mufiyakicheko kwa taarifa.Wengine ujumbe tumeupata kwa kile ulichojaribu kutuhabarisha.Kama sijakosea, Mufiyakicheko hii si mara ya kwanza kupost thread hapa jf na karibu mara zote utata umejitokeza ktk maandishi yako hususani kile unachokiandika, ujumbe tunaupata isipokua lugha unayotumia nahisi si kiswahili kilichozoeleka na wengi ndio maana wachangiaji wengine huambulia ''patupu'' kwenye post zako.Naomba usikwazike kwa hili swali; ''hivi wewe ni Mtanzania?, kama ndiyo...elimu ya msingi umepatia hapahapa Tanzania? Maana huko ndio kuna misingi ya kusoma na kuandika kiswahili tokea darasa la kwanza hadi la pili...kama hayo maswali yote jibu ni ndiyo..basi naomba nifahamu kabila yako inawezekana ''lugha asili'' inachangia kushindwa kuandika kwa ufasaha kile ulichokusudia.Asante kwa taarifa Mufiyakicheko!
ha ha ha.kumbe uko fit? LolENYI MNAOONEKANA KUWA WASAFI NA KUMBE NDANI WACHAFU mko kama maji safi lakini machungu,ambayo kwa kutazamwa kwa nje yanaonekana safi kabisa lakini yakipimwa hakuna hata tone linalokubaliwa. Naam mwonzi wa jua huangukia sawasawa juu ya vumbi au juu ya kioo lakini hutofautiana katika kurudisha nuru kama nyota inavyotofautiana na dunia
jamani mbavu zangu.endelea kutupasha mkuu.you made my day.Kwa mwendo huu hata mimi nitakuwa mufiyakicheko, na naomba utuhabarishe hiyo sili inakuwakuwaje?