Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

Kwani hakupewa hela ya kustaafu?? Akaishi kwenye ofisi ya Spika Urambo iko wazi!!
 
Tafuteni lakuongea
Vibendera bwana,
Nyumba nikwaniaba ya Watumishi wa serikali
Sitta mtumishi!!
 
Endeleeni kumponda mzee Sitta ila msisahau kuwa JPM anapitia JF kama mwongozo wake maalumu. Akiziona comments zenu atashtuka kumbe aliwatwanga! Msijeshangaa akipewa bonge la post.
 
ina maana alikuwa hajaondoka mpaka atimuliwe? mbona watu wanapenda miteremko? tunaomba wahusika wampigie hesabu kisha alipe pango toka tangu alipoachia ngazi mpaka alipotimuliwa. bila shaka kuna mtumishi mwingine alipaswa kutumia hiyo nyumba kwa hiyo may be alikuwa analipiwa nyumbe sehemu nyingine au hata hotel kama ilivyotokea kwa waziri flani pale New Africa
 
Ina maana ye hakununua Nyumba hata moja zile za serekali...anyway karibu uswazi,kwa uzoefu wako wa kwenye siasa nadhani atatusaidia kukaa chini na madee na ney atusaidie mmoja wao amwachie mwenzie urais Wa manzese maana kila mmoja anajiita rais Wa pande hii
 
huo ni utaratibu wewe haupo serikalini huwezi kulipiwa na serikali hata yeye sita anajua hivyo: hayo maneno yako yoote ni ya upuuzi
 
Huyu Mzee acha aisome namba! Alitukosea Sana Watanzania kwa kuvuruga mchakato wa katiba Mpya.
 
usiandike usicho kijua!
 
Hahaah zile za serikali huenda anazo nyingi tu. Kaamua aonje maisha ya uswazi kidogo.!
 
malaika kama.....
....na shetani kama.......
hivi ule utabiri ndo huu au tusubiri??????
 
nakumbuka alivyokua akikakamaa mishipa ya shingo kumtukana Lowassa kwa malengo aliyoyajua mwenyewe..
leo chali...
 
Speed na viwango vimefanya kazi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…