Sitta amwaga radhi TBC1

Sitta amwaga radhi TBC1

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,911
Wana JF fuatilieni taarifa ya habari.

---------

Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil wanatikiswa na watu hawazidi 10 HAPA TANZANIA ANASEMA MWAKA 2011 ndiyo mwisho wao! Amewataka wananchi wasikubali
 
make it live mkuu,wengine tupo mbali kwa sasa
 
Amesema ataendelea kupambana na mafisad hadi kieleweke. kawataka wananchi kuwakataa viongozi wabinafsi wanaojirimbikizia mali.
 
dowans wamefanya kazi yao..kwani kasema je..karudisha kadi?
 
Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil wanatikiswa na watu hawazidi 10 HAPA TANZANIA ANASEMA MWAKA 2011 ndiyo mwisho wao!Wananchi tusikubali
 
viongozi wabinafsi wachache wanajilimbikizia mali. UVCCM tabora wamekana yaliosemwa na mkuu wa mkoa
 
Kasema Tz tuko 43mil, lakn kuna watu kama 10 hivi wanatikisa nchi, huo ni ubinafsi mkubwa kabs
 
hivi unaweza kuiona pepo bila kifo? Saa ya ukombozi ni sasa!
 
Safi napenda anavyojinadi, ila kama ana nia ya dhati.
 
Toka huko baba Sitta njoo tupambane nao........
 
Dr wa ukweli tunakusikiliza wewe sema neno tu!
 
Kumekucha CCM pangala pan panka paraba pa pang hakieleweki mmekiona wadau UVCCM Moshi walichoazimia? UVCCM uongozi wa juu waachie ngazi haya na wa Tabora nako kumekucha gawanyika gawanyika Dah sipati picha CCM
 
nadhani sitta ni mzalendo ila yupo in a wrong party. ccm hawawapendi watu wakweli. anafaa aje chadema tupambane na ccm
 
Ng'wanangwa tafuta jukwaa halisi...

Sita abaki CCM mpaka wakati muafaka, unajuaje ataleta mabadiliko akiwa ndani ya CCM? Hatakama ana mpango wa kuhama abaki huko ili asome ramani zote akija kuobuka kuwashambulia anakua na uhakika wa data na hali halisi
 
Back
Top Bottom