Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
378
Reaction score
400
Kitu ambacho kinanifanya nampenda sana Sitta ni mwanasiasa anaweza kuzungumza anachokiamini bila woga. Gazeti la Tz Daima la leo uk wa 4 linaripoti hivi:

Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:

" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria". Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada. Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.

Kuhusu Lowassa anasema:

" Watu walianza kujipambanua miaka miwili iliyopita kwa harambee mbalimbali kwa baadhi ya makanisa, misikiti na sehemu nyingine" Hesabu ya fedha hizi kwa kipindi cha miaka miwili ni kiasi cha sh bilioni 7" Anasema mtu huyu na kundi lake wakipewa nchi wataiangamiza na kwamba watapora nchi kwa kasi na hatimaye misingi ya umoja na usawa itabomoka na kulitumbukiza taifa kwenye machafuko.

Big up Mh Sitta kwa kusema ukweli
 
mzee six sawa hapo.tumechoka
 
Sipati picha Lowasa akichukua hii nchi itakuwaje, maana anawekeza vya kutosha
 
Kuhusu Lowassa anasema:
" Watu walianza kujipambanua miaka miwili iliyopita kwa harambee mbalimbali kwa baadhi ya makanisa, misikiti na sehemu nyingine" Hesabu ya fedha hizi kwa kipindi cha miaka miwili ni kiasi cha sh bilioni 7" Anasema mtu huyu na kundi lake wakipewa nchi wataiangamiza na kwamba watapora nchi kwa kasi na hatimaye misingi ya umoja na usawa itabomoka na kulitumbukiza taifa kwenye machafuko. ...... Mh Sitta
Haya Ritz (Ritz), upo? JIZI likiingia madarakani utapona?
 
Mtoto wa malichela na mbakaji wataibuka sasa hiv na kumshambulia 6!
 
sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk
 
Fungu la kukosa!. Huku kutapatapa ni dalili ya mfa maji.
P.

Pasco, kama kweli wewe ni Mtanzania na unaipenda nchi hii utaomba Lowassa asiwe rais wa nchi hii hata dakika moja. Lakini kama Mwalimu alivyosema "serikali hii (ya kikoloni) isipotusikiliza tutaishitaki kwa malkia, nae asipotusikiliza tutaishitaki Umoja wa Mataifa. Wasipotusikiliza tutashitaki kwa MUNGU".

Lowassa akipata urais Watanzania tutashitaki kwa MUNGU!
 
Kitu ambacho kinanifanya nampenda sana Sitta ni mwanasiasa anaweza kuzungumza anachokiamini bila woga. Gazeti la Tz Daima la leo uk wa 4 linaripoti hivi:

Mh Sitta jana alikuwa anazungumza katika mahafali ya kidato cha nne shule ya Agape Seminari , Marangu Moshi anasema:

" Nchi imefika pabaya kama viongozi wanaweza kutoa vitisho na tambo za watoto wao kuuza dawa za kulevya huku vyombo vya dola vikishindwa kuchukua hatua". " Nchi imegawanyika makundi ambapo baadhi ya viongozi wamekuwa na kiburi cha kutamba kwamba hawawajibiki kwa vyombo vya kisheria". Sitta alitoa mfano wa Waziri mstasfu ambaye sasa ni mbunge, aliyeripotiwa na vyombo vya habari kumtisha mtoto aliyemtuhumu kwa kumbaka mara mbili alipoitwa kwake kuchukua ada. Alisema polisi hawajachukua hatua hata ya uchunguzi tu na kubaini kwamba Tanzania ni nchi kubwa haiwezi kuendeshwa hovyo hivyo tu, na kwamba lazima iendeshwe kwa viwango vya maadili vitakavyoleta maendeleo.

Kuhusu Lowassa anasema:

" Watu walianza kujipambanua miaka miwili iliyopita kwa harambee mbalimbali kwa baadhi ya makanisa, misikiti na sehemu nyingine" Hesabu ya fedha hizi kwa kipindi cha miaka miwili ni kiasi cha sh bilioni 7" Anasema mtu huyu na kundi lake wakipewa nchi wataiangamiza na kwamba watapora nchi kwa kasi na hatimaye misingi ya umoja na usawa itabomoka na kulitumbukiza taifa kwenye machafuko.

Big up Mh Sitta kwa kusema ukweli

sasa mkuu kama unampenda sitta ci umwambie akulipie mahari?
 
Angalau ameanza kuona Ukweli mchungu kuwa Mwanamume wa Shoka anapewa Mamlaka.Kamshindwa Rais Mteule na Mtemi wa Unyanyembe Mh.Lowassa sasa kageukia kuwa Mfadhili wa Harambee za Malaya kumchafua ProfessorJuma Kapuya, Sitta kachanganyikiwa Tangu JK alipomhadaa kumpa u PM, Kama Serikali haiperform yeye anasubiri nini huko Serikalini, Kwa nini hazungumzii ulegelege wa Serikali kwa PCCB kumuacha mkewe 2010 wakati alikutwa Red Handed na Bahasha 117 za kugawia wajumbe ili apitishwe Ubunge wa Viti Maalum,
 
Sio rais....labda kuwe na mpango wa kufanya mapinduzi baada ya kupoteza fedha nyingi ktk harambee.
 
Back
Top Bottom