Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Farm house ni nini?Nime enda kupumzika kwenye farm house mzee, Sasa utulivu ni mkubwa na hata mandhari ni mazuri.
mkeka Ume tick pia
Farm house ni nini?Nime enda kupumzika kwenye farm house mzee, Sasa utulivu ni mkubwa na hata mandhari ni mazuri.
mkeka Ume tick pia
Mzee nyumba ya mapumziko, iko. maeneo ya shamba.Farm house ni nini?
Kwa maisha yapi uliyonayo ewe jobless hadi ukimbilie shambani kupumzika 😂Mzee nyumba ya mapumziko, iko. maeneo ya shamba.
Pame tulia kinyama, no kelele za gari au watu.
Kaka mapumziko ni kitu muhimu mzee, baada ya mishe za hapa na pale.Kwa maisha yapi uliyonayo ewe jobless hadi ukimbilie shambani kupumzika 😂
Utapumzika ukifaKaka mapumziko ni kitu muhimu mzee, baada ya mishe za hapa na pale.
Beside huku vyakula vya asili, maziwa safi.
Asante kwa tag ilishanipita hii ☺️☺️
Usi usome mkuu, kaiharibu sana. Nahisi ali copy mahali.Asante kwa tag ilishanipita hii ☺️☺️