Sitosahau nilivyopokea buku mbili kutoka mbinguni

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,854
Basi siku moja nimekaa zangu home sina hata mia ya kununua kiepe ninywee maji, katika kukaa kutafakari shida na wapi nikakope niendeshe siku mara akatokea mzee yaani baba yangu mzazi, akiwa ametoka zake safar anaelekea kwake, basi tukawa tunapiga story moyon nikajisemea hapa mwenyewe hali ngumu leo na mzee kaja nitamlisha nini?

Kipindi najiuliza mara kaka yangu huyo nae katua hom akitoka nyumbn kwake amekuja kuniona nikasema afathari broo aokoe jaazi, tumepiga story broo akaaga kaa kidogo mzee anasema mwanangu nifanyie kwanza mpangu wa buku niwahi kwanza nyumban kuna kitu nimesahau, kichwa kikalia ndiii na ukichek kumwambia mzee sina na jins nilivyo ni udhaifu hapo sasa nikapigwa na butwaa nikamwita broo mana alikuwa ameanza kutoka broo kama una buku nipatia kwanza broo akasema hapa sina hata mia mpaka nifike bank.

Hapo mzee sijamjibu kama sina basi kujibiwa hivyo nikatia huruma hapo jumla shida mbili nikaenda ndan natoka nje nakuta buku mbili juu ya bord ya gar yangu imeandikwa kabisa tumia kwa malengo
 
1654079890265.jpg

img_20150924_075841(2).jpg
 
Tee baridi
Wewe nitakujibu kesho saiz ngoja nilale niotee wapi kesho nikapige mshindo mana watz tunaiishi leo yetu kesho hatuna kitu so bila kuotea njoz yasije nikuta tena kuikuta buku mbili ikitoka mbingun yaan unakuwa na maisha magumu mpaka malaika wanaingilia kati kukutumia hela...aah hapanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom