Uko lazima nije tu nasikia saivi jiji limejengeka barahaSahau tu nafanya uende mwanza kutembea liliamua tu kukutisha na kucheza na ww ukikuwa hauko kwenye mood ya kucheza nalo sahau yaliyopita vanga yajayo.
Uko lazima nije tu nasikia saivi jiji limejengeka baraha
Yalikua siyo maamuzi yangu kuhama Ila wazaziSo ulikua unasoma ila ulikua unaweza amua kuhama mkoa just like that?
Ungesema nae tu. Umuulize hali yake.Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza,
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti.
Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi,mwingine kilimahewa,na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.
Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka
Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa
Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.
Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu,hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na mkono wangu wa kushoto ulivunjika
Kelele nilizopiga watu walitoka majumbani na kunikuta sijitambui
Toka mwaka huu nilihama mwanza na sijawahi kukanyaga mwanza toka 2005
π€£π€£Jamii Forums kuna mpaka watu wameongea na Mungu!
Mwamba hapa yeye alikutana Jini..
Yaani ni baraha..!
Kila aliyekutana na jini, lazima liwe limevaa nguo nyeupe. Hizo ndio sare zao?Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza,
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti.
Mwenzetu mmoja yeye alikua anakaa pasiasi,mwingine kilimahewa,na mwingine kiloleli na Mimi nilikua nakaa nyasaka.
Wale wawili wa pasiasi na kilimahewa tuliachana muda mfupi Mimi na jamaa yangu wa kiloleli tukaendelea na safari tulipofika pale kiloleli mnadani mwenzangu akatelemsha njia ya kwenda kanisa la wasabato na Mimi nikaendelea na safari kwenda nyasaka
Kwa wenyeji wa nyasaka kulikua na kisima Cha maji kisichokauka nasikia Sasa eneo ilo Kuna secondary ya Nyamanoro na chini yake Kuna mto mkubwa
Nilipofika eneo ilo niliona kitu kirefu kimevaa mavazi meupe na kinanifuata mwili ulitokwa na jasho muda huo na nywele zilisimama baraha na wazo lililonijia muda huo ni kukimbia.
Nilikimbia kuvuka ule mto kupandisha mlima ghafla naliona tena mbele yangu,hakika niliishiwa nguvu nikaangukia mkono na mkono wangu wa kushoto ulivunjika
Kelele nilizopiga watu walitoka majumbani na kunikuta sijitambui
Toka mwaka huu nilihama mwanza na sijawahi kukanyaga mwanza toka 2005
Ni kweli mji umejengeka baraha π€£π€£Uko lazima nije tu nasikia saivi jiji limejengeka baraha