Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Duuh? Hii hatari
Huna marinda wewe na Ray bayb ni sawa tu. Alafu unatanganza biashara wewe. Haiwezekani mwanaume ambae kweli alipata uchungu kwa kushikwa kinguvu uje uongee kwa confidence namna hii.

Lazima mchezo ulikunogea huo na hapa unatafuta wapumulia kisogo wewe.



Ngastuka machale kundesaaa
 
Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa
Hii kali ya kufungia mwaka.

Kumamae wallah
 
Nimepata msamiati mpya, eti nusu Robo Saa

Nadhani ulitaka kumaanisha dakika 7 na sekundi 30
 
Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa[/

chai maharage
 
Katika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada

Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu primary na sekondari tukiwa darasa moja, na mahusiano yetu yalianza tukiwa kidato cha kwanza, demu alinisaidia sana kuepukana na kile chama pendwa cha Chaputa mpaka namaliza sekondari,ijapokuwa nilikuwa na show nyingine za nje lakini huyu hatukuwahi kuachana mpaka tunamaliza

Tulikuja kupotezana mara baada ya kumaliza sekondari, kila mtu aliendelea na masomo na mimi baada ya kumaliza elimu ya chuo nikapangiwa kwenye mkoa mmoja, baada ya miaka 5 nikahamia mkoa ambao ndipo tukaja kukutana, na yeye akaniambia ana familia 2 na ni mwajiriwa wa idara fulani kwenye local government. Ikabidi tuachiane contacts ili baadae tuwasiliane, katika kuendelea kuwasiliana akaniambia mume wake ni mtumishi wa jeshi la wananchi kikosi cha huduma.

Katika kuendelea kuchati binti alionyesha nia ya nguvu ya kutaka kupasha kiporo ,kitu ambacho sikuwa tayari mwanzoni. Lakini siku zilivyokuwa zinaenda nikashawishika kula mzigo,na tukawa tunafanya hivyo. Sasa kuna siku moja aliwahi niambia mume wake ameonyesha hisia ya kwamba mali yake inaibiwa, nikaanza kuwa na hofu kumbe alikuwa ametuwekea mtego, na mimi bila kujua.

Mpaka leo naendelea kuamini ule mtego lazima mwanamke alinisaliti kwa sababu mwanamke mara zote tulipokuwa tunakutana yeye ndiye alikuwa anatangulia gest na ananipa taarifa njoo chumba namba fulani.

Sasa siku hiyo nimefika eneo la tukio nikashtuka kukutana sura ambazo nilizitilia shaka lakini nikapotezea, nikapitia receiption nikasabahi nikaingia ndani, nilipofika room nikamkuta mama amesaula amelala, machale yakanicheza nikatoka nje nikamwambia mhudumu atubadilishie chumba akanipa funguo nyingine nikaenda room nikamwambia mama hiki chumba kina hewa nzito tuhame akawa anagoma,nikamzoa kwa nguvu tukahamia chumba cha mwishoni kabisa.lakini nikaona utofauti fulani kama vile mama hakulidhika, halafu story zikawa nyingi wakati mimi nataka tuanze game yeye anasema subiri tuongee kwanza. Kitu ambacho kilisaidia ni mara tu tulipohamia chumba kile simu zote yake na yangu zilikuwa mezani.mara nikasikia sauti za wanaume wakimlazimisha mhudumu afungua kile chumba tukichohama, huku mhudumu akigoma kwamba hawezi kwani wao sio wateja, baada ya kumtisha mhudumu akawapa sharti kama mnayemtaka hayupo msinisumbue tena, mhudumu akawafungulia na chumba kilikuwa hakina mtu, sasa wakawa wanamlazimisha afungue na vingine mhudumu akakataa na bahati nzuri wageni 2 waliokuwa vyumba vya pembeni wakatoka wakawaambie wale wakaka 4 wawe wastaarabu , kama vipi waende polisi ndio waje wafungue vyumba vingine na sio wao.jamaa wakagoma kwa kuona kwamba wakienda polis lengo lao halitatimia . Kipindi hicho chote tumekaa tu kitandani na binti ananiambia mume wangu huyo, shauri yako, halafu anaomba kutoka,akawa kama amepagawa flani hivi.nikamwambia marafuku ,nikamlaza kitandani nikamlalia juu ili kuhakikisha hata akipiga kelele hazisikiki.wakati huo simu yake nimeshazima mdaa.baadae wakaondoka kwa maelezo ya mhudumu kwamba hao watu wanao watafuta ni kweli walifika ila hawakukaa wameondoka walisema hawajaridhika na mazingira. Jamaa wakasepa, baada kama ya nusu robo saa mhudumu akaja kuniambia wameondoka tunaweza kuondoka. Wakati nafungua mlango ili niondoke akawa ananivuta mkono akijidai anataka gemu kwa maelezo anajua kwamba hiyo ndiyo mwisho wetu. Nikagoma nikaondoka nikamwacha yeye akijiandaa kuondoka, wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake amwambie tena chumba alichokuwepo.

Mpaka leo sitasahu hilo tukio, ijapokuwa mpaka kesho bado tunamawasiliano na huwa namuuliza kwa nini alifanya vile huwa ananiambia kwamba alibanwa sana na ili asalimishe ndoa yake ilibidi lazima afanye hivyo, lakini alimhakikishia kwamba hatanidhuru ndio maana akakubali kula njama.

Hawa wanawake tuwaone tu, kama na wewe umewahi kutana na mazingira kama hayo karibu tushare experience ni wapi nilikosea, kwa sababu pamoja na kunusurika bado naendelea na huo mchezo lakini siku hizi nakuwa makini sana.
za mwizi 40
 
Kila mtu anayeleta stori humu ya kuhusisha kugegeda wake za watu ni lazima waume zao wawe watumishi wa Jeshi..what is the point??
 
Huna marinda wewe na Ray bayb ni sawa tu. Alafu unatangaza biashara wewe. Haiwezekani mwanaume ambae kweli alipata uchungu kwa kushikwa kinguvu uje uongee kwa confidence namna hii.

Lazima mchezo ulikunogea huo na hapa unatafuta wapumulia kisogo wewe.



Ngastuka machale kundesaaa
Hiki kijamaa kinatia mashaka..kilivyoandika hiyo testimony naamini anatamani kufanyiwa hizo mambo..
 
Kuna jamaa alikimbia kutoka temeke mwisho hadi buza alipita dukani nikamuuzia sigara kaniaga anaenda kwenye mishe Zeke kipndi hicho mkewe yupo tanga kikazi (mwalimu) kumbe amepangana na mke wa mtu wakafanye yao kumbe na mwenye mke amestukia chezo anawachorea rada tu..ashukuru mhudumu aliekuja kumtonya kwamba mwenye mali yupo na vijibaba kadhaa mlango mkubwa akamfungulia back door yani yani kama lisaa tu Alirudi anahema mpaka nikajua labda kuna Vita imetokea na shati halijafungwa vifungo
Hahaaaaa kufumaniwa kubaya unaweza kuzima walah, mbona wanawake huwa haaaogopi
 
Hahaaaaa bwabwa lilikuwa lina washwa hivi ni lazima mukomeshane kwa hicho kitendo si bora fine ya hela
Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa
 
mkuu pole sana, ila jamaa katili kweli yaani aliandaa mob ya watu wanne kwa ajili ya kukufukunyua wewe tuu...... kweli NKE WA NTU sumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom