Sitosahau maishani

Sitosahau maishani

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,176
Habarini wadau wa JF pole na majukum ya kila cku,,

straight to the point.
wakati niko mdogo takriban miak 10 hv cku moja nko ktk harakat zangu za mawindo nilijikuta nipo katikat ya pori kama kawaida ya mawindo ya bush, ile cjatulia vzur mara chui kaingia! Daah niliishiwa nguvu na ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona chui wakati huo niko juu ya mti chui yuko chini, hata cjui niliponaje kama c ukuu wa mungu tu..
 
Huyo chui ni mlemavu mkuu?? Maana chui nao mafundi sana wakuparamia miti kama sikosei.
 
Hujakoxea kaka, chui juu kama magufuli na Chatto, ila mm naamini mungu alikuwa upande wangu hyo story inasisimua ila cjaeleza jinsi nilivyokaokolewa.
 
Habarini wadau wa JF pole na majukum ya kila cku,,

straight to the point.
wakati niko mdogo takriban miak 10 hv cku moja nko ktk harakat zangu za mawindo nilijikuta nipo katikat ya pori kama kawaida ya mawindo ya bush, ile cjatulia vzur mara chui kaingia! Daah niliishiwa nguvu na ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona chui wakati huo niko juu ya mti chui yuko chini, hata cjui niliponaje kama c ukuu wa mungu tu..
Sala za wazazii zinasaidia
 
Chui hapendi miingiliano na watu, huenda alipokuona akaondoka kwenda kujificha! Usijidanganye kwamba eti ulikuwa jasiri mkuu!
 
Hujakoxea kaka, chui juu kama magufuli na Chatto, ila mm naamini mungu alikuwa upande wangu hyo story inasisimua ila cjaeleza jinsi nilivyokaokolewa.
Sasa mkuu siuleze ulivyookolewa au tumsubiri chui ndio aje amalizie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom