Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,176
- Thread starter
- #21
Kumbe chui wanaishi kutokana na kabila la watu fulani na sio uwepo wa pori eeehHuko kwenu umakondeni kuna chui? Ilikua wilaya gani?
Kumbe chui wanaishi kutokana na kabila la watu fulani na sio uwepo wa pori eeehHuko kwenu umakondeni kuna chui? Ilikua wilaya gani?
Hapan mkuuNikajua ulikuwa unwinda totozi
Ulikua hujui yahee....wasalimie mahuta huko sheikh.Kumbe chui wanaishi kutokana na kabila la watu fulani na sio uwepo wa pori eeeh
Basi nawe umo c bureUlikua hujui yahee....wasalimie mahuta huko sheikh.