Mambo gani hayo tena ya kutishia kutokupenda tena mara nitajiua!!!!!
kwani kabla ya kuwa naye ulikuwa na nini? nadhani ulikuwa peke yako. huyo alikuwa mpita njia tu achana naye, tumia muda mwaigi kujiweka vizuri kiuchumi achana na hayo mambo ya nakupenda ni hadithi tu hizo. Kumbuka ukiwa hauna pesa hauta pata huduma nzuri. Tafuta pesa kwanza, then utakuwa unachukua wa kila aina. kama amekukimbia bcoz uchumi ujue alikuonea huruma tu ili nawe uweze kuonja, angalau ujihisi kuwa nawe upo duniani!!!!!